Unafikiri kwa kutumia makalioo wewe ! Au ata ujasiriamali aukusoma ata kidogo we unadhani wanapenda warundikane sehemu moja au wanafata wateja wao.
Huyo mtu ni muongo tena ni fataani, mzandik na hafai kabisa, hakuna Serikali inayoweza kuteketeza mali za raia zake kwa moto. Ili ipate faida ipi?
zamani kulikuwa na kitabu kwa title ya "NJAMA" bado kipo?
And that is what i know from my brain council. Ni wapuuzi wachache kutoka Lumumba watakaopinga hili.
Poleni sana ndugu zangu wamachinga,mambo yote muachieni Mungu.
ILA nashangaa kwenye huu uzi siwaoni wazee wa lumumba kutoa pole,MSALANI,Ritz,Mwanadiwani,Iferwoo,Lizaboni...nk
Juzi serikali hiyohiyo imeharibu sehem za watu kwenye biashara zao,kupitia polisi na mgambo,kuna watendaji wana akili mbovu sana,
wale mgambo na polisi pale kariakoo nimewah kuwashuhudia wakivunja vyombo vya mama ntilie,ila sufuria la mchuzi na samaki wamelibeba,na mama lishe hawakumchukua,je SHERIA inasemaje hapo ukht?
Hili jambo halihitaji siasa. Kuingiza siasa hapa inadhihirisha ni namna gani watu walivyo na akili za panzi.
Huyo mtu ni muongo tena ni fataani, mzandik na hafai kabisa, hakuna Serikali inayoweza kuteketeza mali za raia zake kwa moto. Ili ipate faida ipi?
Wateja hufata bidhaa, unaonesha una matatizo ya ilm. Huwezi kumuuzia kitu mtu asichokihitaji.
Si unaona ma shopping complex mpaka Mlimani huko na watu wanayafata hukohuko kutoka kila sehemu ya nchi.
Usiwe punguani. Unapoanza kupeleka kila bidhaa kwa mteja basi ujuwe unayaua masoko. Soma!
Umeshaambiwa usiweke biashara yako sehemu fulani, wewe unaendelea kuiweka unategemea nini?
Hao wa Karume sijasikia wakiambiwa wahame, na kama walitakiwa wahame na wakakaidi wangefanyiwa kama hao wengine na si kuchomewa moto, fikiri japo kidogo.
Lumumba ndipo sera za kuendesha nchi hii zinakopangwa, na huko hakuna sera ya kuwasha moto au upiganaji, hizo sera za Ufipa.
Hawa watu wamepatwa na majanga ni wakati muafaka kuwafariji kwa lugha safi na kutazama namna ya kuwasaidia, si kuwatumia wahanga kueneza siasa chafu.
Misukule fungukeni vichwa vyenu japo kiduchu.