Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

Hii inasikitisha beyond words...siamini kama ni hayo maharage ya mama ntilie tu...hujuma hii,tutafika tu lakini
 
Ndivyo mlivyojidanganya. Inabidi nianze kufikiria nyinyi ndio mliochoma moto na kuanza kuja humu kuhororoja na kusingizia CCM kwa kuwa tu, kwenye ulingo wa siasa inawagaragaza vibaya sana.

Amma kweli mfamaji haishi kutapatapa.

kaa kimya wewe muosha k na mkojo.
 
I have a suspicious feelings that ze market is purposeful burned down to move the bussiness people to the complex building...Ilala municipality can be responsible in this because if they are not involved why fire emergenc didnt respond quickly until the whole market is completly down. Why if one of the bakhresa premise alert for fire we see lots of fire cars emergence pass on the other side of road try to respond quiclky???this is not a proper way of pushing people to the new place of business, think about their income,family and children...for real i have right to speak for them abd one day my suspission will become reality....i appologise for the broken english but it pained me to the extent that my tongue stacks to let out swahil words 😒😒😏

Thats accordn to yo thinkn capacity en yo negativity mind against the government,lemm gv u ds in a brief fire outbreak n that place occurs several tyms sema wanauwah kuuzima,kwa muktadha huo i berg u to stop speculativ black tings with yo negativty mind son


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Mkuu yawezekana una jambo la msingi lakini umesahau structure ya soko la karume lilivyokuwa. Mimi mara nyingi nikipita pale nilikuwa naangalia na kuwa sana hili jambo la moto. Ni ukweli mchungu kuwa kwa namna lile soko lilivyokuwa, kuzima moto na kuokoa mali si kitu rahisi. Ukija kwa hoja yako ya Bahkeresa naona kama umeteleza ndugu. Hivi kwa akili ya kawaida tu unategemea Bakheresa amiliki mali za bilions halafu ashindwe kuzikatia bima? Sasa akina KK Security, Ultimate Security watakuwa wanafanya kazi gani?
 
On my own point of view watahamishwa kwamba wanapewa soko la muda.then aidha litajengwa soko lingine na watakaofaidika ni wengine na au litajengwa jengo kubwa na tutaambiwa muwekezaji kaja kuwekeza
 
jinamizi la majanga bado linaendelea!! mweeh kamtaji kangu ka viatu vya akina dada!! cjui nifanye biashara gani sasa?
 
Wanastahili pole kwa kupoteza Mali maana ninavyoijua serikali ya ccm mpaka ije iunde tume na majibu kutoka nikichekesho
 
kwanza Tokomeza Bodaboda inafuata tokomeza wamachinga ... sijui nini kitafuata maana kila wakiamka wanafikiria wa kuwafanyia ubabe.
 
We tatizo lako ni moja uko too generalisation hivi kwa akili yako unaweza linganisha shopping mall kubwa na wale petty entrepreneurs ambao mtaji wao aufiki even 5000Usd ? Na hili lipo kila mahala duniani wish umeshatembea na umeona mengi even Uingereza siyo watu wote watanunua bidhaa katika malls za cheshire or sheraton ila kuna sehemu ya watu wa chini according to their amount. Mi nasoma na Mungu akijalia mwakani ntarudi kupiga kura kuondoa mdudu ccm.

Andika Kiswahili, Kiingereza hukijuwi vizuri.

Hapa tunaongelea mkusanyiko wa watu na wanauza bidhaa ambazo hata moto kidogo tu wa sigara unaweza kuleta madhara makubwa na kama uonavyo kilichpo hivi sasa. Watu wameunguliwa moto, ni wakati muafaka wajipange kuzuwia majanga kama haya yaliyotokea.

Kuhusu Mlimani City, nimekupa mfano kuwa biashara hazifati watu, watu hufata biashara. Unaonesha uelewa wako ni finyu sana.

Ikiwa biashara hata ya nyanya ya msingi usiozidi 10,000 inajengewa masoko na inajipanga vizuri kabisa, nenda soko la Kariakoo na feri katazame. Sasa iweje Serikali kubwa zaidi ya mitumba washindwe kujipanga na kutengeza masoko ya kisasa kuepusha majanga kama lilililowapata? Ni wakati muafaka wajipange na wajue walifanyalo. Nilitegemea upinzani uende kuwaelimisha wadai kujengewa soko litalokidhi mahitaji yao na liwe la kisasa.

Sijui unanielewa, maana inaonesha muono wako ni finyu sana.

Huu si wakati wa kuendesha siasa zenu majitaka kwa kutumia wahanga wa hili janga, hapa kuna watu wameathirika na hili tukio, ni wakati wa kuwafariji na kutazama tunawasaidia vipi, sio kwa sasa tu na kwa siku za usoni. Kama ilivyofanyika Mbeya, lilipounguwa "soko" lao ikawa ndio ufumbuzi wa kujengewa soko jipya na la kisasa (somehow) na pamependeza.

Hebu funguka fikra zako japo kiduchu ewe punguani.
 
ma-CCM bwana. Yamepachoma hapa ili wafanyabiashara waende kwenye lile Jengo lao walilolikataa, sasa sijui yatawapa mitaji? hivi hiki chama kilitokea wapi jamani? mbona kimekuwa chanzo cha vilio kila mahali nchi hii.
 
Hata wewe siku Serikali inataka eneo la nyumba yako kufanyia shughuli zingine zenye manufaa ya Taifa inakujulisha mapema, ikifika wakati waliokupa kama hujaondoka kwa hiyari wanakuondoa kwa nguvu na wanabomoa nyumba yako, lakini hawaji kukuchomea moto. Kumbuka hilo.

Hapa hakuna Serikali iliyohusika, moto ni majanga na inabidi tuwape pole nyingi sana hawa wahanga na tutafute namna ya kuwasaidia kwa hali na mali na si kuliingiza hili jambo kwenye siasa, ni mapema mno.

Uko sawa na sahihi kabisa, nakubaliana na wewe ila punguza ushabiki kwa ccm. CCM needs to go we need change myfriend iwe CHADEMA au Chama kingine chochote ili mradi tuone mabadiliko. hiyo miaka 50 inawatosha.

funguka sweetheart
 
Tanzania ni zaidi tuijuavyo nakumbuka pale bujumbula kuna soko kubwa liko katikati jiji. siku moja baada ya wafanya biashara kugoma kuamia masoko ya pembezoni serikali iliamua kulimiminia baruti na kulitekeza usiku. sasa naofia na hapo karume hisijekuwa janja hiyo hiyo
 
Vipi, ya moto wa Ilala yamekushinda unataka kuanisha mengine? yafungulie nyuzi tutakuja kukujibu. Hapa panaongelewa moto wa Karume!

Wewe mwandishi wa habari au mwandishi wa udaku? waandishi wa habari wanaandika utumbo?

mi nadhani hajakosea kuoanisha haya matukio, kama great thinker unatakiwa kufikiri zaidi ya pale watu wa kawaida kama wewe faiza wanapoweza fikiria. Acha kuwa na akili mgando jaribu pia kufikiri nje ya box
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom