Sitaki Ualimu, nimechoka naombeni ushauri

Kuna wanadamu walioumbwa kutokutulia hata apate kazi ya namna gani , yeye atatamani tu mahangaiko. Yaani wao kukaa sehemu moja hawaridhiki.

Hizi biashara unazotaka kufanya nje ya ajira unaweza kuzifanya ukiwa bado upo ndani ya ajira yako- shida watumishi tukikopa tunakimbiliaga kujenga na kununua magari badala ya kuanzisha miradi ya uzalishaji na maendeleo. Sasa makato yanapopamba moto hlf take home mwisho wa mwezi inabakia kidunchu unakosa hamu ya kazi kabisa
 
Biashara nyingi zilizofunguliwa ukiwa kazini zimefeli kwasababu ya usisamizi.
Kabla hujafungua biashara ANGALIA SANAA MSIMAMIZI.

#YNWA
Nimechukua ushauri wako ,lkn siyo always ipo namna hiyo.

Yaani ukimbie na mkopo wa miaka mitano kwenye kazi ambayo baada ya hiyo miaka mitano unaweza ukakopa tena na ni ajira ya kudumu kweli?
 
Wengine tuliajiriwa kwasababu tulikosa wazazi wakutupa mamilioni ya mtaji.
Kazi wengine ni mtaji ila sio ajira ya ndoto zao.

#YNWA
 
Hii njia niliitumia mwaka 2012 baada ya kuchoka ualimu.so nilikopa NMB,CRDB na Posta Bank..20M in total..nikaenda chuo kikuu X nikasoma Banking and finance nilipomaliza 2015 nikaajiliwa kwenye private company X hadi 2021...nikaacha now Nina migodi yangu ya dhahabu mkoa X...Maisha mazuri sana km ukithubutu...NB nimefanya story iwe fupi japo nimepitia changamoto nyingi mzito
Mpe changamoto pia ili apate uhalisia wa mambo.
 
Wewe acha kazi uone jinsi ilivyokazi kupata kazi,watakuto........mpaka mkeo
 
habarini wanajamvi?

Nimekuwa nwalimu wa miaka 5 sasa katika mkoa X na shule nayofundisha kwakweli si mbaya sana ina mazingira mazuri kiasi.Lengo la kuja hapa JF ni kuomba ushauri juu ya hatma ya maisha yangu.

Najua kila mtu hajawahi kutosheka juu ya mishahara yao lakini kwa sisi walimu naona hali inazidi kuwa mbaya, Serikali inatukandamiza kwa makato ya siyo ya lazima kama kuchangia mwenge na tunalazimishwa eti mwenge ukija mkoani kwetu lazima walimu tuwepo kuupokea.

kwanini kila kitu mpka sisi walimu tushiriki aiseee, nimechoka kuona kada yangu pendwa imekuwa inadharaulika na serekali kwa kutupiwa kila kitu cha kisiasa matokea yake walimu tumekuwa watu wa mkakati kwa wanasiasa ili kufanikisha azma yao.

Natamani kuacha ualimu ila naogopa wapi ntapata chanzo kingine cha mapato,na sitaki mikopo kabisaa

Naonmbeni ushauri wa wa biashara gani ya kufanya ili niondoke kwenye ualimu

(Sitaki kufungua kijiwe cha tuisheni, walimu tumekuwa tukiona tuisheni kama ni njia pekee ya kujiajiri SITAKIII)

msaada jamani
Kwa kweli hata mimi nilikimbia kusoma kingine, si haba. Sema mshahara haujawahi tosha hata siku moja
 
Kwamba wewe na umri huo "Huwajui walioacha Kazi wakafanikiwa?"

Kwanini yeye asiwe mmoja wapo?

#YNWA
Marehemu Reginald Mengi kwa maelezo yake anasema alianza kuuza peni badae akawa tajiri mkubwa sana tanzania , basi na wewe anza kuuza peni ili tukutarajie mengi mwingine ,

Nyakati hazifanani, watu hawafanani , nuru za biashara hatufanani kumshauri achukue mkopo akaanze biashara ambayo hana hata historia nayo ni kumuuza mwenzenu waziwazi halafu badae aje atusumbue hapa apewe muongozo anarudi vip kwenye ajira
 
bima ya mkopo ni against Kifo na permanent disability,ukiacha au kuachishwa kazi Mkopo unaulipa kama kawaida-Benk husika wakikutafuta na kukupata na ukapelekwa Mahakamani lazima utalipa.
Ndio maana ya kuwa na mdhamini mzee kama mteja hana uwezo wa kulipa deni la mkopo basi aliye beba dhaman ya mkopo huo juu yako na ndiye atakaye wajibika na hapo ni mkurugenzi wake wa halmashauri na akisha kuwa mkurugenzi basi hapo ni serikali na ikisha kuwa serikali utajaza kitakacho endelea
 
Hapa napo pana utata inasemekana mtu akifa hizo tasisi za kifedha huwa wanaikomba mirathi ya marehemu Kuna mtu anafanya kazi mahakamani amewahi kuniambia hivyo.
 
Marehemu Reginald Mengi kwa maelezo yake anasema alianza kuuza peni badae akawa tajiri mkubwa sana tanzania , basi na wewe anza kuuza peni ili tukutarajie mengi mwingine ,

Nyakati hazifanani, watu hawafanani , nuru za biashara hatufanani kumshauri achukue mkopo akaanze biashara ambayo hana hata historia nayo ni kumuuza mwenzenu waziwazi halafu badae aje atusumbue hapa apewe muongozo anarudi vip kwenye ajira
Narudi palepale "Kwamba na umri wako huo, hujawahi ona kijana wa kizazi hiki akaacha Kazi na kuamua kujiajiri na akafanikiwa?"

Kwanini yeye asiwe mmoja wapo?

Hata mimi nimelelewa kwenye familia ambazo woteeee wameajiriwa hivyo SINA ROLE MODEL.

Ila huwa naamini sanaaa kwenye kujiajiri.

#YNWA
 
habarini wanajamvi?

Nimekuwa nwalimu wa miaka 5 sasa katika mkoa X na shule nayofundisha kwakweli si mbaya sana ina mazingira mazuri kiasi.Lengo la kuja hapa JF ni kuomba ushauri juu ya hatma ya maisha yangu.

Najua kila mtu hajawahi kutosheka juu ya mishahara yao lakini kwa sisi walimu naona hali inazidi kuwa mbaya, Serikali inatukandamiza kwa makato ya siyo ya lazima kama kuchangia mwenge na tunalazimishwa eti mwenge ukija mkoani kwetu lazima walimu tuwepo kuupokea.

kwanini kila kitu mpka sisi walimu tushiriki aiseee, nimechoka kuona kada yangu pendwa imekuwa inadharaulika na serekali kwa kutupiwa kila kitu cha kisiasa matokea yake walimu tumekuwa watu wa mkakati kwa wanasiasa ili kufanikisha azma yao.

Natamani kuacha ualimu ila naogopa wapi ntapata chanzo kingine cha mapato,na sitaki mikopo kabisaa

Naonmbeni ushauri wa wa biashara gani ya kufanya ili niondoke kwenye ualimu

(Sitaki kufungua kijiwe cha tuisheni, walimu tumekuwa tukiona tuisheni kama ni njia pekee ya kujiajiri SITAKIII)

msaada jamani
Acha kazi uone ilivyokazi kupata kazi, anyway labda kama una jambo lingine, mchango wa mwenge wa sh 5000 kwa mwaka ndio unakufanya uache kazi? 5000 ina impact gani na matumizi yako? Au mm sijaelewa sababu za ww kutaka kuacha kazi?
 
Back
Top Bottom