Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,131
- 14,608
Miye naufanya ualimu,nafanya siasa ndani ya CCM,nalima nafuga na nafanya biasharaIla ni risk sanaa
Na ukifeli KAZI UNAYO.
#YNWA
Mshahara haukupi utajiri ila unakupa koneksheni na fursa
Miye naufanya ualimu,nafanya siasa ndani ya CCM,nalima nafuga na nafanya biasharaIla ni risk sanaa
Na ukifeli KAZI UNAYO.
#YNWA
Nadhani mpwayungu village kakupa ushauri bora.Tulia Sasa mkuu vuta pumzi, hapo cha kufanya kopa benki, baada ya hapo nenda Bayport kopa mpaka moja ya Tatu hakikisha kadi yako mshahara unaingia buku tano tu, baada ya hapo usiache kazi mwenyewe fanya kudoji kazini mwezi mzima bila taarifa utakuta barua ya kufukuzwa kazi juu ya Meza ya mkuu wa shule ndipo lengo lako litakuwa limetimia maana mkopo una Bima kwahiyo watajijua na mwajiri wako na Bayport itakuwa imekula kwao
Fanya biashara ya huduma za kifedha na ufugaji wa kuku kienyeji hutajuta baada ya miaka mitatu pesa yako ya mwezi utakuwa mshahara wa walimu watano wenye TGTS Wasio kuwa na madeni yoyote
Ushauri mzuriJiendeleze kweny kada nyingine nje ya ualimu kwasababu huna mu mrefu tangu uajiriwe
Ni mzuri kama huko aendako atatoboaNadhani mpwayungu village kakupa ushauri bora.
mpwayungu village 2.0NKISEMA KADA YA UALIMU NI YA HOVYO MNIELEWE
ONA KIJANA WA KITANZANIA ANAHANGAIKA NA KADA YA UALIMU WAKATI WAPO WALIMU WENZAKE WANAMBEZA NA KUTETEA UALIMU
Hastag
KATAAA UALIMUUUUUU HAUFAIII
Miye naufanya ualimu,nafanya siasa ndani ya CCM,nalima nafuga na nafanya biashara
Mshahara haukupi utajiri ila unakupa koneksheni na fursa
Sawa mpwayungu villageNKISEMA KADA YA UALIMU NI YA HOVYO MNIELEWE
ONA KIJANA WA KITANZANIA ANAHANGAIKA NA KADA YA UALIMU WAKATI WAPO WALIMU WENZAKE WANAMBEZA NA KUTETEA UALIMU
Hastag
KATAAA UALIMUUUUUU HAUFAIII
Nimekubali nin!?hatimaye mwalimu wa chekechea umekubali
Kazi za serikali na hasa Halmashauri ni za kiseng-e sanaaKweli mchango wa mwenge ndo unakukimbiza?????
Mwache aende huko nje atuachie ualimu wetuMhh! Mbona unamjaza mwenzako ujinga? Hivi unadhani maisha ni rahisi kiasi hicho?
Ni kukosa tu msimamo binafsi.mwenge ukija mkoani kwetu lazima walimu tuwepo kuupokea.
Mkuu kuhusu hilo la mkopo nafahamu vizuri tu so sijalibishia.Nina ushahidi wa watu 3 waliokopa wakakimbia
Wawili wametoboa
Mmoja alifeli akakimbia NGO
#YNWA
Huku Halmashaurini mtuache siye vichwa vigumuKazi za serikali na hasa Halmashauri ni za kisenge sanaa
Ukiwa huna uvumilivu na una ndoto zako utahisi KAZI ZINAKUCHELEWESHA.
#YNWA
😀😀😀 motivation speaker nilianza na nyoya moja la kukuTulia Sasa mkuu vuta pumzi, hapo cha kufanya kopa benki, baada ya hapo nenda Bayport kopa mpaka moja ya Tatu hakikisha kadi yako mshahara unaingia buku tano tu, baada ya hapo usiache kazi mwenyewe fanya kudoji kazini mwezi mzima bila taarifa utakuta barua ya kufukuzwa kazi juu ya Meza ya mkuu wa shule ndipo lengo lako litakuwa limetimia maana mkopo una Bima kwahiyo watajijua na mwajiri wako na Bayport itakuwa imekula kwao
Fanya biashara ya huduma za kifedha na ufugaji wa kuku kienyeji hutajuta baada ya miaka mitatu pesa yako ya mwezi utakuwa mshahara wa walimu watano wenye TGTS Wasio kuwa na madeni yoyote
Serikali za kijamaa watumishi wote ni makada wa Chama Dola na Serikali yakeNi kukosa tu msimamo binafsi.
Tatizo la walimu wengi ni waoga.
Omerta mwache aende huko nje ambako anahisi ni paziri ila akumbuke kuagana na nyongaKuna wanadamu walioumbwa kutokutulia hata apate kazi ya namna gani , yeye atatamani tu mahangaiko. Yaani wao kukaa sehemu moja hawaridhiki.
Hizi biashara unazotaka kufanya nje ya ajira unaweza kuzifanya ukiwa bado upo ndani ya ajira yako- shida watumishi tukikopa tunakimbiliaga kujenga na kununua magari badala ya kuanzisha miradi ya uzalishaji na maendeleo. Sasa makato yanapopamba moto hlf take home mwisho wa mwezi inabakia kidunchu unakosa hamu ya kazi kabisa
Ahahaahha😀😀😀 motivation speaker nilianza na nyoya moja la kuku
Hongera mkuu Kwa kutoboaHii njia niliitumia mwaka 2012 baada ya kuchoka ualimu.so nilikopa NMB,CRDB na Posta Bank..20M in total..nikaenda chuo kikuu X nikasoma Banking and finance nilipomaliza 2015 nikaajiliwa kwenye private company X hadi 2021...nikaacha now Nina migodi yangu ya dhahabu mkoa X...Maisha mazuri sana km ukithubutu...NB nimefanya story iwe fupi japo nimepitia changamoto nyingi mzito