Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,131
- 14,610
Aaaaahaaahhnilitaka kutuma jina limekuja la kike, nikaacha
Kapuku wewe
Aaaaahaaahhnilitaka kutuma jina limekuja la kike, nikaacha
🤣🤣🤣🙏🙏Narudi palepale "Kwamba na umri wako huo, hujawahi ona kijana wa kizazi hiki akaacha Kazi na kuamua kujiajiri na akafanikiwa?"
Kwanini yeye asiwe mmoja wapo?
Hata mimi nimelelewa kwenye familia ambazo woteeee wameajiriwa hivyo SINA ROLE MODEL.
Ila huwa naamini sanaaa kwenye kujiajiri.
#YNWA
Acha kazi uone ilivyokazi kupata kazi, anyway labda kama una jambo lingine, mchango wa mwenge wa sh 5000 kwa mwaka ndio unakufanya uache kazi? 5000 ina impact gani na matumizi yako? Au mm sijaelewa sababu za ww kutaka kuacha kazi?
Ni makato ya kisheria? Ayaweke wazi hapa, tujue kama mwenzetu anaonewa au lahyawezekana ww ukaona 5000 ni ndogo maishani mwako lkn kwa mwalimu ni kubwa sanaaa ndo mana mwenzio kashusha uzi .
halafu mwaandishi kaelezea makato mengi ndo ujue kuwa mijialimu ya huku haina misimamo
Bloangu una hasira mno,angalia usije kuua wanetu kwa bakora za kuzidi huko shuleni kwako,🤣🤣🤣🤣Miaka mitano kazini Kwa nn asikopesheke unawazimu nini unafikiri ana deni kama wewe, watu wanakopa kabla ya kudhibitishwa iweje Kwa wa miaka 5
Bwahaaaaaaaaaa😀😀😀 motivation speaker nilianza na nyoya moja la kuku
Ingekuwa hivyo basi wengine tungeshaozea jela,sio kweli acheni kutisha watu loohbima ya mkopo ni against Kifo na permanent disability,ukiacha au kuachishwa kazi Mkopo unaulipa kama kawaida-Benk husika wakikutafuta na kukupata na ukapelekwa Mahakamani lazima utalipa.
Ww utakuwa ni kati ya walimu wa hovyo sana nawaonea huruma ata wanafunzi unaowafundisha kama hujawai ata kuanzia biashara ukaona wenzako wanayopitia huko umeanza kuwaza kuacha kazi acha alafu uone vile maisha yalivo sinaga Kuna mwalimu alikopa benki ataacha kazi akiwa hana ata uzoefu wa biashara sasa ivi hana ata mia ni ana kila siku kushinda halmashauri kuomba arudishwe kazini.Anzisha biashara kwanza ukiwa uko kazini ili uendelee kuizoe baada ya apo ndo ufanye huo uamuzi wakoTulia Sasa mkuu vuta pumzi, hapo cha kufanya kopa benki, baada ya hapo nenda Bayport kopa mpaka moja ya Tatu hakikisha kadi yako mshahara unaingia buku tano tu, baada ya hapo usiache kazi mwenyewe fanya kudoji kazini mwezi mzima bila taarifa utakuta barua ya kufukuzwa kazi juu ya Meza ya mkuu wa shule ndipo lengo lako litakuwa limetimia maana mkopo una Bima kwahiyo watajijua na mwajiri wako na Bayport itakuwa imekula kwao
Fanya biashara ya huduma za kifedha na ufugaji wa kuku kienyeji hutajuta baada ya miaka mitatu pesa yako ya mwezi utakuwa mshahara wa walimu watano wenye TGTS Wasio kuwa na madeni yoyote
Hii sasa ni too muchhabarini wanajamvi?
Nimekuwa nwalimu wa miaka 5 sasa katika mkoa X na shule nayofundisha kwakweli si mbaya sana ina mazingira mazuri kiasi.Lengo la kuja hapa JF ni kuomba ushauri juu ya hatma ya maisha yangu.
Najua kila mtu hajawahi kutosheka juu ya mishahara yao lakini kwa sisi walimu naona hali inazidi kuwa mbaya, Serikali inatukandamiza kwa makato ya siyo ya lazima kama kuchangia mwenge na tunalazimishwa eti mwenge ukija mkoani kwetu lazima walimu tuwepo kuupokea.
kwanini kila kitu mpka sisi walimu tushiriki aiseee, nimechoka kuona kada yangu pendwa imekuwa inadharaulika na serekali kwa kutupiwa kila kitu cha kisiasa matokea yake walimu tumekuwa watu wa mkakati kwa wanasiasa ili kufanikisha azma yao.
Natamani kuacha ualimu ila naogopa wapi ntapata chanzo kingine cha mapato,na sitaki mikopo kabisaa
Naonmbeni ushauri wa wa biashara gani ya kufanya ili niondoke kwenye ualimu
(Sitaki kufungua kijiwe cha tuisheni, walimu tumekuwa tukiona tuisheni kama ni njia pekee ya kujiajiri SITAKIII)
msaada jamani
Upo sahihi kabisa walimu wengi wanataka kuacha kazi kwasababu ya mikopo waliyojengeaKuna wanadamu walioumbwa kutokutulia hata apate kazi ya namna gani , yeye atatamani tu mahangaiko. Yaani wao kukaa sehemu moja hawaridhiki.
Hizi biashara unazotaka kufanya nje ya ajira unaweza kuzifanya ukiwa bado upo ndani ya ajira yako- shida watumishi tukikopa tunakimbiliaga kujenga na kununua magari badala ya kuanzisha miradi ya uzalishaji na maendeleo. Sasa makato yanapopamba moto hlf take home mwisho wa mwezi inabakia kidunchu unakosa hamu ya kazi kabisa
MpwayunguJamani sasa watoto wetu watafundishwa na nani??
Mimi sio mwalimu mkuuBloangu una hasira mno,angalia usije kuua wanetu kwa bakora za kuzidi huko shuleni kwako,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna shida ni uoga wao tuHivi serikali kuu inalipa mshahara, wakisema mchango wa 5,000 wa mwenge sitoi, wakisema nije kwenye mwenge SIJI, nafanya mambo yangu kazi inayonitaka nifanye
Hapo kutakua na shida gani??
ShemejiiiiiiiiiMimi sio mwalimu mkuu
Mm ni Me katika mkataba nilijaza Msamvu/Mwanza kwa maana nlikua naishi Msamvu lkn kwetu ni Mwanza Sasa nikiandika likizo wananilipa Hela ya Msamvu wanasema wao wameangalia sehemu ya kwanza ambayo ni Msamvu na wanadai wameshapeleka had TamisemiWhy unataka ubadilishe wewe ni Me au KE,umeolewa au huajolewa?
sioni maana yoyote maana umuhimu wa palce of domecile nipale ukifariki wanaangalia ulijaza uzikwe wapi ukifariki,so kama utakuwa umeoelewa haitakuwa na maana kwa kuwa Mumeo ndio ataulizwa wewe pa kuzikwa na kama wee ni ME utazikwa kwenu au katika makazi yako.
[emoji23][emoji23][emoji23]We jamaa ni mwalimu kabisa.
Wewe sio mtumishi, HILI UMELIJUAJE, WEWE NI MWALIMU.
#YNWA
Leo unajikana bloangu?Mimi sio mwalimu mkuu