Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,757
- 18,187
Usijali kuna siku watakamatwa tu Jinai haifi Mzee Baba!!
Hizi Halmashauri za vijijini ni kawaida.
Watu wanakopa na kusepa wengi sanaaa.
Kuna wanajeshi wengi sanaa wanakopa na kusepa.
Niliajiriwa na jamaa mmoja 2012, ye alifanya Kazi mwaka mmoja tu akakopa nakusepa.
Mpaka leo ana maisha japo si makubwa wala madogo ila yanaenda.
Kifupi Nina access na wengi waliokimbia na mikopo halmashauri, hivyo najifunza sanaa juu yao.
#YNWA