Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 7,589
- 17,739
Kuna wanadamu walioumbwa kutokutulia hata apate kazi ya namna gani , yeye atatamani tu mahangaiko. Yaani wao kukaa sehemu moja hawaridhiki.
Hizi biashara unazotaka kufanya nje ya ajira unaweza kuzifanya ukiwa bado upo ndani ya ajira yako- shida watumishi tukikopa tunakimbiliaga kujenga na kununua magari badala ya kuanzisha miradi ya uzalishaji na maendeleo. Sasa makato yanapopamba moto hlf take home mwisho wa mwezi inabakia kidunchu unakosa hamu ya kazi kabisa
Biashara nyingi zilizofunguliwa ukiwa kazini zimefeli kwasababu ya usisamizi.
Kabla hujafungua biashara ANGALIA SANAA MSIMAMIZI.
#YNWA

