King yedidiah
Member
- Apr 4, 2023
- 28
- 66
Wakuu habarini! Nimekuja kwenu niweze kupata ushauri kwani waswahili husema " mficha maradhi kifo kinamuumbua"
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 , nilihitimu Elimu ya kidato Cha Sita mwaka 2019 na kupata ufaulu wa Division three point 13 katika tahasusi ya PCB , lakini nilitamani sana kusoma kozi ya udaktari sikufanikiwa kwa ngazi ya degree kutokana na ufaulu wangu nikaomba wazazi wanisupport niende diploma ya clinical medicine!
Hawakuhafiki haraka walinipinga na kunitaka nikasome degree kozi yoyote Ile , lakini niliwaomba sana wakanikubalia kishingo upande , Kutokana na kuchelewa dirisha la nacte nilishindwa kupata nafasi serikalini hivyo nikaenda private , nilisoma semester Moja tu chuo kikafungiwa Kutokana na kutokidhi vigezo vya usajili na hapo ndio kizungumkuti kilipoanzia.
Wazazi walianza kunilaumu na kuniambia Bora ungeenda degree ona wenzako uliomaliza nae wanaendelea mbele wewe unarudi nyuma dah kiukwel nilijisikia unyonge sana, na kipindi hicho familia ilipitia kipindi kigumu Cha madeni ya bank na kupelekea kuuzwa kwa nyumba tuliyokuwa tukiishi!
Basi nikawa mtu wa kukaa nyumbani, mwaka 2020 nikaomba kwa machozi nipewe nafasi niende chuo Cha degree chochote na kwakozi yoyote, nilifanikiwa kupata chuo japo suala la mkopo likawa mtihani mwingine, sikupata asilimia ya kutosha ivyo Kuna kiasi Cha ada kikubwa nikawa nalipia nilijikuta naingia kwenye madeni mengi nikiwa chuon ili kulipa ada nilifanikiwa kusoma semester Moja Ile naingia semester ya pili Mzee akaugua sana ikabidi pesa nyingi kutumika hospitalini huku chuon mambo yakazidi kuharibika.
Nikaandika barua ya kuahirisha mwaka Kisha nikaondoka kwenda kumuuguza Mzee Kwan mimi ndio wa kiume kwenye familia na ndio mkubwa! Nimekaa nikawa sina jinsi ya kurudi chuon maan hata pesa ya kuongeza kwenye ada sikuwa nayo! Wakati huo kumbuka tumepoteza nyumba na tupo nyumba ya kupanga!
Nilianza harakati nyingine za maisha lakini mwaka 2021 nilifanya maamuzi magumu ya kurudi kwenye kozi yangu ya udaktari na nikabahatika kupata chuo cha serikali, nilifurahi sana na nikaona huu ni muujiza nikaanza kusoma diploma hii ya udaktari japokuwa darasani nilikuwa ndio mkubwa wa darasa kama mjuavyo sikuhizi watoto wanamaliza form four wanaunga diploma.
Sasa maisha yakaanza changamoto zilikuwa nyingi nikipata supplimentary basi nakuwa kituko walimu wananiweka kituko mbele ya darasa dah Ile halo ikawa inanikata moyo sana Kila mtihani ukikaribia naandika barua ya kuomba kufanya bila kulipa ada maana bila ada wanazingua kukuruhusu!
Nilipomaliza mwaka wa kwanza Nikaandika barua ya kuahirisha Kwan pesa yote ikawa imeisha , nikaona nikajipange nirudi mwakani ambao ndio huu 2023! Lakini mpaka muda huu wakuu sina hata robo ya ada na nyumbani nashindwa kuwasumbua maana wapo kipindi kigumu sana, ikaja roho ya kukata tamaa nikitizama wenzangu wote niliomaliza nao Form six 2019 wamemaliza vyuo, basi nikikutana na watu wanaonifahamu wananiuliza vp umemaliza chuo nawaambia bado wananiuliza unasomaga tu mpaka Leo, na ukicheki kidevu Chote kimechafuka ndevu basi najihisi unyonge!
Wakuu sina pesa ya kujisomesa miaka miwili iliyobaki diploma! Nimekaa tamaa natamani niombe mkopo mwaka huu niingie degree, nilienda kuulizia kama inawezekana kurudi chuon nikaambiwa mpaka niombe upya maana nimefutwa kwenye system ya chuo nilichosoma kipindi Cha mwanzo degree, kwa Sasa bodi ya mikopo niliwauliza kama naweza pata mkopo wakaniambia nilipe asilimia 25 ya mkopo niliotumia nikiwa chuoni ambayo nikipiga hesabu ni kama 687,000/= ndipo niombe mkopo ,
Yaani nimechoka wakuu hata iyo pesa ya chuo sina Wala hiyo ya kuomba mkopo sina,
Nipo DILLEMA, kwende diploma nimebakiza miaka miwili, lakini sina ada, nahofia miaka inazidi kwenda wakuu ! Naombeni ushauri nisubirie nipate ada nikamalizie diploma ya afya miaka miwili au nitafute pesa ya kuomba mkopo nikasome bachelor kwa kusomeshwa na serikali, Nina miaka 26 kwa Sasa wakuu.