Kuoga kwa maji ya moto, sabuni kali, huku ukijisugua inaondoa mafuta asili ya ngozi na kuipelekea ikauke, wakati mwingine kuwasha na kuoelekea nyufa au mikunjo ya ngozi sababu ya ukavu.Hakuna faida zozote za kiafaya kuoga kila siku kama huishi sehemu zenye joto au kufanya kazi ngumu za kukutoa jasho.
Watu wengi wanaoga kila siku kwa sababu ya mazoea tu. Kama uko kwenye baridi ukioga mara tatu kwa wiki inatosha.
Hongera mkuu
Kisayansi kila siku na kila muda cells za skin membrene zinakufa ujue!Hakuna faida zozote za kiafaya kuoga kila siku kama huishi sehemu zenye joto au kufanya kazi ngumu za kukutoa jasho.
Watu wengi wanaoga kila siku kwa sababu ya mazoea tu. Kama uko kwenye baridi ukioga mara tatu kwa wiki inatosha.
Na huyo tipwa tipwa anayekuogesha, ye huogeshwa na nani?
Nesi ni muhimu kuoga kila siku mkuu.Kunuka ni nnje nnje , bila kuoga mara mbili kwa siku siwezi jisikia vizuri , na ubaya wa harufu mtoaji hauwezi isikia , ila kiukweli watu wengi manuka, sio masikio vikwapa na mapua , na wengi wanazunguka na chembechembe za mapupu bila kujua watema vibaya mno
Sio nesi , kila binadamu ni muhimu kuwa safi .Nesi ni muhimu kuoga kila siku mkuu.
Wewe unalamba shingo za watu za nini kama sio ushamba unakusumbua?ninyi ndo mnaladha ya betri kwenye shingo zenu eeh
ushasema ni ushamba alf unaniuliza kwanini nalamba, uko timamu kweli?Wewe unalamba shingo za watu za nini kama sio ushamba unakusumbua?
Sawa sawa mkuu kila mmoja alambe kinachompendeza.ushasema ni ushamba alf unaniuliza kwanini nalamba, uko timamu kweli?
Kuoga ni kuondoa uchafu kama hujachafuka unasafisha nini?Hakuna faida zozote za kiafaya kuoga kila siku kama huishi sehemu zenye joto au kufanya kazi ngumu za kukutoa jasho.
Watu wengi wanaoga kila siku kwa sababu ya mazoea tu. Kama uko kwenye baridi ukioga mara tatu kwa wiki inatosha.
vizuriSawa sawa mkuu kila mmoja alambe kinachompendeza.
Kuna mgeni nililala nae jana, nikamwambia kihekima maji ya kuoga yapo chooni akaniambia haogi.ninyi ndo mnaladha ya betri kwenye shingo zenu eeh