Mr Slim
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 3,123
- 6,198
Sijawai kulala kitanda kimoja na mwanaume mwenzangu...misibani kama hakuna lodge bora niegamie viti tu.Hivi nyinyi mkilala jinsia yenu, mnalala vichwa mmeweka sehemu 1?
Binafsi, ikitokea tumelala wanaume tupu.. basi huyu kichwa akiweka kaskazini, huyu kichwa kusini