Archnemesis 2-0
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 1,531
- 3,083
Kwann unaishi kisela hivo shida kipato au uko likizo kuwowa?Naoga maji ndoo mbili,
Muda nusu saa,
Simu inapiga mziki,
Naoga kuanzia saa nne na nusu usiku mpk tano usiku
Asubuhi najimwagia maji tuu...
Nimetoka fua nguo na mashuka sasa ni wakati wa kuoga na kuswaki nikanuse mashuka yangu niliyofulia kwa niceone