eeh sasa lile joto lililopo kwenye viatu maana vimefunikwa hakuona umuhimu wa kuosha miguu yarabišKuna mgeni nililala nae jana, nikamwambia kihekima maji ya kuoga yapo chooni akaniambia haogi.
Nikamwambia basi kanawe miguu akanijibu Tokea asubuhi sijavua viatu, miguu yangu misafiš
š š aloooo ngachokaNaunga mkono hoja, sipendi kuoga ni basi tu!
Kosa lake liko wapi?Kuna mgeni nililala nae jana, nikamwambia kihekima maji ya kuoga yapo chooni akaniambia haogi.
Nikamwambia basi kanawe miguu akanijibu Tokea asubuhi sijavua viatu, miguu yangu misafiš
Binti š šninyi ndo mnaladha ya betri kwenye shingo zenu eeh
Wa kikeMgeni wa kike au kiume ?
Kaninukisha makwapa usiku kuchaKosa lake liko wapi?
rabekaššBinti š š
Na waliHalafu,kwa nini uoge?Ipo kwenye basic needs?Unatakiwa uoge siku mkeo akipika nyama tu.
Hivi nyinyi mkilala jinsia yenu, mnalala vichwa mmeweka sehemu 1?Kaninukisha makwapa usiku kucha
Umekuaje dearrabekašš
Kuna watu hawapendi kuoga tu ipo hivyo.Kaninukisha makwapa usiku kucha
Mi hua najiuliza wanaume mnawezaje kulala kitanda kimoja ?Hivi nyinyi mkilala jinsia yenu, mnalala vichwa mmeweka sehemu 1?
Binafsi, ikitokea tumelala wanaume tupu.. basi huyu kichwa akiweka kaskazini, huyu kichwa kusini
poleš jamnUnekuaje dear
Nimecheka nusu nipaliwe š¤£š¤£
Hili halikwepeki kuna mazingira yanatokea mnalala mchongoma fresh tu..Mi hua najiuliza wanaume mnawezaje kulala kitanda kimoja ?
Hua naona ni ajabu