kila siku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa TMA kila siku ni huu

    .....,.vinatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua. General disposition, hata isipotokea wanakwepa lawama. Rubbish!
  2. Eliphaz the Temanite

    JamiiForums Tanzania Dawasco Shirika linatia hasara serikali kila siku

    Hivi DAWASCO hawaoni? Kila kukicha mitaani maji yanamwagika mpaka yamechimba mitaro. Halafu somewhere katikati ya mwaka tunaambiwa maji hayatoshi unaanza mgao wa maji!. Yaani imefika hatua mpaka ukitaka kujua maji yanatoka utaona tu mtaani jinsi maji yanayo vuja kila kona! Uko convert maji...
  3. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Mungu wa miujiza mbona sijawahi kumwona? Au kuona miujiza yake?

    Wanabodi... Poleni na majukumu ya week nzima, as we are welcoming another beautiful weekend. Naomba tuongelee hili swala kidogo, tumeaminishwa kuhusu uwepo wa Mungu na miujiza yake ya kuponya viwete, kutenganisha bahari na hata kurudisha uhai kwa wafu. Je Mungu huyo yupo? Maana nimefika...
  4. polokwane

    JamiiForums Tanzania Huwa nashindwa kuelewa hili ni bunge la wananchi au bunge la serikali? Mbona wananchi wanatekwa kila siku hatuoni bunge likiongelea wananchi wao?

    Hali ya utekaji sasa inatisha sikuhizi hadi visa binafsi vya mapenzi watu wanatekwa inaonekana kuna kikundi maalumu kinakodiwa kwa kazi hiyo nankina baraka za serikali, mwisho wa hali hii ninini? Na tuna vyombo vya ulinzi na usalama ?
  5. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Kafulila ni nani,mbona kila siku uzi mpya ni yeye !

    Heshima sana wsnajamvi. Kuna utaratibu wa hila na laghai za kila aina ambazo sijui chanzo chake au kusudio lake. Huyu Kafulila kila uchao utasikia kasema hili mara kasema lile. Ukitazama nyuzi kuhusu Kafulila hasa JF nadhani kuna kundi la watu pengine wanalipwa au yeye mwenyewe Kafulila...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Kusaga TV: Arusha kila siku wanauwawa madereva bodaboda

    Kumekuwepo na visa na mikasa mbalimbali ya kuuwawa kwa madereva bodaboda huko mkoani Arusha na mara nyingi matukio hayo huripitiwa na Kusaga Tv Kwa siku za karibuni ni kama matukio hayo yanazidi, juzi tu Kusaga TV iliripoti tukio la dereva bodaboda kuuwawa na kutolewa macho huko Olasiti...
  7. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania MAAFISA HABARI, KIZAZI KIMEBADILIKA: WATU HAWATAKI PRESS RELEASE KILA SIKU

    Kuna jambo nimekuwa nikilitafakari siku hizi kuhusu namna taasisi za umma zinavyowasiliana na umma, hasa kupitia social media. Kwa kweli naamini kuna haja kubwa kwa maafisa habari kubadilika na kuanza kuelewa vizuri hisia, tabia na matarajio ya audience wanayoihudumia. Dunia imebadilika...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sio lazima kuoga kila siku.

    Hakuna faida zozote za kiafaya kuoga kila siku kama huishi sehemu zenye joto au kufanya kazi ngumu za kukutoa jasho. Watu wengi wanaoga kila siku kwa sababu ya mazoea tu. Kama uko kwenye baridi ukioga mara tatu kwa wiki inatosha.
  9. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Hawa Wahenga Tunaowakariri Kila Siku Kwenye Methali na Misemo ni Kina Nani Hasa?

    Kila siku tunasikia "Wahenga walisema..." au "Wahenga hawakukosea..." Lakini umewahi kujiuliza kwa kina, hawa wahenga walikuwa akina nani hasa? Walikuwa na sura gani? Walikaa wapi, na kwanini kila neno walilosema limebaki kuwa sheria ya maisha hadi leo? Shusha pumzi, vuta kiti karibu. Leo...
  10. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Ile hofu miongoni mwa watu inaendelea kuondoka kila siku

    Kila nikiangalia TUKIO la daktari aliempasua trafiki baada ya kuleta ungese wake, nimekaa nikafikiria sana, naona na wenzake madaktari wanakua kitu kimoja na wanapanga kugoma nchi nzima. Tanzania inayokuja nimekaa nikaishia KUCHEKA TU mana nakuapia Kuna siku Hawa mnaowaita watekaji mtu...
  11. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tetesi:, Rais Dr samia wetu,na Dr.Nchimbi,wapo pamoja na wanawasiliana kwa jina la kaka na dada kila siku.

    Ndiyo habari iliyopo,wanawasiliana kama ndugu kila uchwao, kwa kuitana ""kaka na dada""kazi mnayo nyie vizabina zabina,mnaopenda biff. ""INAITWA CHENGA YA MWILI""
  12. baloziwamitaa_

    JamiiForums Tanzania Tetesi: 1FAIDA ZA MUZIKI KATIKA MAISHA YA KILA SIKU

    Muziki si burudani tu. Ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku — inayoathiri hisia, akili, na hata mwili wetu kwa namna ya kushangaza. Tangu utotoni, muziki hutusaidia kujifunza. Watoto hukariri herufi, namba, na hata kanuni za maisha kupitia nyimbo. Kadri wanavyokua, wimbo ule ule unakuwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Drama hizi zisizoisha ndani ya CCM na Lissu kuendelea kuwa topic ya kila siku, kuna dalili za utabiri wa Sheikh Yahya kutimia ?

  14. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Wanawake zenu wamenituma na wao wanataka hardcore sio kila siku slow motion

    Hapa nahema kwa nguvu kama nilikua nakimbizwa, nipo kwenye kikao cha wanawake aloo wamejua kufunguka khe!!! kubwa ni huu ujumbe nilopewa niwajuze, sikutakiwa niwaletee sasa hivi maana bado wanafunguka, ila mie na kiherehere changu nimetoka nje kama naenda maliwatoni, nimejibanza kwenye kiukuta...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Plot Twist: Uzinduzi usingemake Headlines wakamtamtafta wanayemtumia kila siku

    Za chini chini ni waliwaweka wapima upepo wa uzinduzi wakaona hakuna mwenye mda nao wala kuongelea plan ikawekwa Chaap option ikaingia ni wanayemtumiaga kila siku sababu anapenda sana pesa Kutega upepo wa mrengo wa kushoto wakamuona yule yule mtu wao akapewa dau na media coverage script mjomba...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania KERO Ni nani atatuambia ukweli wa kwanini umeme unakatika kila siku Dar wakati wowote?

    Nyumbani sina jenereta la kufua umeme. Hivyo, Sasa hivi naogopa kuangalia mechi muhimu nyumbani kwangu kwa kuogopa umeme unaweza kukatika wakati wowote kabla ya mechi au katikati ya mechi. badala yake inanilazimu kwenda bar ambazo zina backup/standby jenereta kama umeme wa TANESCO utakatika muda...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ujenzi wa Barabara ya Rangi Tatu - Kongowe unasuasua, kero kila siku, Bilioni 54 zilizotajwa kusimamia Mradi hazijasaidia?

    Hivi ujenzi wa Barabara ya Mbagala Rangi Tatu mpaka Kongowe imekuwa kero kwetu Watumiaji na sasa hivi hakuna kinachoendelea hata mkandarasi hatumuoni 'site' hii kero itaisha lini jamani. Nakumbuka Machi 19, 2025, Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam na mkandarasi kutoka...
  18. youngkato

    JamiiForums Tanzania Kila siku unapost nguo kwenye status… lakini je, unauza tu au unajenga brand?

    Leo watu wengi wanaanza biashara ya nguo kupitia WhatsApp Status, Instagram, Facebook au TikTok. Unaweza kuanza ukiwa na nguo chache, ukapata wateja wa kwanza na kuanza kupata faida. Lakini swali ni: Je, unataka kubaki muuzaji wa nguo au kujenga BRAND yako mwenyewe? Safari ya kujenga biashara...
  19. bless on

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Saikolojia ya Wanadamu kwenye maisha ya kila siku

    Kuishi na wanadamu ni sanaa inayohitaji akili kubwa ya mtaani. Ukikosa hekima ya kutambua jinsi akili za watu zinavyofanya kazi, utajikuta kila siku unavunjwa moyo, unatumika, au unashushwa thamani na watu unaoamini ni wa karibu kwako. Hapa kuna kanuni 5 za kisaikolojia kuhusu wanadamu ambazo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Utapeli mtandaoni, Mawakala na wateja kuweni makini, wezi wanabuni mbinu mpya kila siku

    Kuna utapeli wa aina nyingi sana kwenye miamala ya kifedha na mtandaoni, kila siku wezi wanabuni mbinu mpya. Umakini unahitajika sana, hesabu pesa na kucheki balance kila unapofanya muamala wa kupokea kwani hata mawakala nao wanatapeli wateja, kutuliza akili ni jambo la muhimu sana. Usikubali...
Back
Top Bottom