Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,402
- 191,522
Hahaha hivi vitu tumezoea kuviona kwenye movies tu. Hio nyumba sijaingia ndani ila nina hakika ina technological gadgets kama zote katika standards za kimataifa. Mambo ya Biometrics milangoni na Underground Bay.nyumba kali aisee.
Hii ndio maana ya Kuwa tajiri. Sio unakkuwa tajiri Dar huku kijijini unambuzi wanne na nyumba yenye ramani ya msumbiji.
Nyumba ni Kali sana, japo sidhani kama K.Lyn ataendelea kuishi huko bush.