mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,761
wanasumbua watu tu kumbe hamna kitu utajiri wa madilimadiliHahahaaa
wanasumbua watu tu kumbe hamna kitu utajiri wa madilimadiliHahahaaa
Lakini amelala tayari hatoamka tena.
Kunywa maji utafute sehemu yenye kimvuli pumzika kidogo negativity will kill uNi kweli, kakuacha ww uko hai lakini kwenye single room ya kupanga.
Hii kawaida mkuu.Lakini amelala tayari hatoamka tena.
Hela au uhai?Tutafute hela tu jaman
ID yako inajielezaLakini amelala tayari hatoamka tena.
ID yako inajieleza
haterLakini amelala tayari hatoamka tena.
hater
Bora wawe wanamiliki , ipo kijijini kwa ajili ya mapumziko ya xmass na mwaka mpyaNyumba kama hizi tumezoea kuziona mitandaoni kwamba kina Messi wamenunua kwa bilion kadhaa, kumbe bongo watu wanamiliki
hater!??Sijui nyie mmenielewaje. Sihusiki
hahahaaha we jamaa wewe!!!nyumba kali aisee.
Hii ndio maana ya Kuwa tajiri. Sio unakkuwa tajiri Dar huku kijijini unambuzi wanne na nyumba yenye ramani ya msumbiji.
Huku sisi kwani tunaishi basi? Sisi huku tunajikinga na mvua tuBora wawe wanamiliki , ipo kijijini kwa ajili ya mapumziko ya xmass na mwaka mpya
Vipi huko Dar es salaam [emoji119]
Hiyo ndio fainaliLakini amelala tayari hatoamka tena.