Sifa 13 za nyumba ya Billionaire Marehemu Mengi

Sifa 13 za nyumba ya Billionaire Marehemu Mengi

Hii nyumba ni ya kawaida sana.... Sijaona watu wanachoishangaa. Ya kawaida tu sisemi mbaya lakini si ya kushtua kama watu wanavyotaka tuamini.
 
Diamond platnumz anafanya Show moja ya kimataifa kwa zaidi ya million 35 Hakuna utani katika hili.

Tatizo lako hukuelewa vizuri umekurupuka Si kila wiki anafanya international Shows, Show mbili tu alizozifanya South korea na Oman hela yake wewe mpaka unakufa hutowahi kuimiliki nauhakika huo hata kama umeajiriwa wizara ya fedha otherwise ukadange UK
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Acha kutupatia mawazo yako ya kimaskini kwamba hatuna au hatuwezi kumiliki Kama huwezi Ni wewe sio mimi

Na Kama alternative yako Ni kudanga Basi we danga
Ila usilete uongo wako hapa
 
Mimi ninazikumbuka za enzi zile za kuifahamu hii familia kupitia watoto, mama alimpenda sana dingi. Mama alikua mwanamke wa ki sure hasa.

Mzee wakati huo pesa imekubali, mama anapata habari tu jana alikua Oyster Bay hotel na mdada wanapata dinner, baada ya siku mbili Kilimanjaro Hotel. Mama alikuwa anapata heart attacks aki recover anapigwa shopping Brussels, Paris.

Mwisho alichoka.
Hiyo sentensi ya kupigwa shopping,me sina mbavu
 
Diamond platnumz anafanya Show moja ya kimataifa kwa zaidi ya million 35 Hakuna utani katika hili.

Tatizo lako hukuelewa vizuri umekurupuka Si kila wiki anafanya international Shows, Show mbili tu alizozifanya South korea na Oman hela yake wewe mpaka unakufa hutowahi kuimiliki nauhakika huo hata kama umeajiriwa wizara ya fedha otherwise ukadange UK
Duuh..
Aisee umasikini mbaya sana..
 
wachagga ndvyo walivyo, angalia mzee Mremi mwenye DAr express, ananyumba kali kijijina na dar huko masaki na ndio maana wachagga wanarudi kwao krismass,
angalia ludovic utoh, angalia charles Kimei, yani hawa watu nawaonea wivu sana na ndio maana awamu ya 5 imewanyima vyeo kabisa wakiamini utajiri wao ni kwa kuwapa vyeo lakini wachagga ni unstoppable kama liverpool, salute kwao.

kila mtu anawaonea wivu kumbe kwao kuzuri, mtu unpata hamu ya kurudi nyumbani mda wowote, hebu linganisha na kule kwa ndugai dodoma kuna funza balaa, mbungo na hakuna hata kuvutia.

njoo igunga kwa rostam, hakuna miti, yaani ukienda chato ndio kabisa, mkapa kakimbia kwao kaenda kaskazini, Mwinyi kakimbia zanzibar yupo masaki,
Mwinyi kwao ndio huko huko...
 
Back
Top Bottom