1.Imejengwa kwenye msitu bila kuharibu mazingira.2.Underground. 3.Bulletproof
4.Vioo vinabadili mwanga yaani ukitaka giza.
5.Underground ya Mwisho ni kwa ajili ya Usalama kama kumetokea shambulizi la silaha za kivita kama MABOMU.
Kufika hukoj ni kwa lift maalum ukiwa kwenye kila Floor. Kuna mahitaji yote ukiwa huko wakati VITA inaendelea huku Juu .
6.GETI TATU.geti ya kwanza unaingia .geti ya pili kukaguliwa na kupaki kama umekuja na gari.Hapa ndio parking. Geti la tatu kupakia kigari maalum kwenda kwenye NYUMBA.
7. PAZIA MAALUM hakuna grill.
8.Maji moto.Kipupwe n.k ni CENTRALIZED. 9.VIFAA VINGI NI SENSOR.
10.Security ni BALAA aliplan wakati anatishiwa maisha yake.
11.Solar na Umeme wa uhakika hata kama VITA inaendelea.
12. Helicopter kutua.13.Kuna vitu vingine sio vya kutaja kwa mfano swimming pool , Sound heatre n.k
Ilijengwa na contractor wa Israel.View attachment 1092163View attachment 1092164
TupoWale waliokuwa wanaanzisha nyuzi dhidi ya mama wawili kimyaaaaaa roho inawauma na mawazo yao ya uswahilini.
Mrs alitaka waende DubaiSasa Mengi walienda Dubai kupumzika kwa ajili gani, anveenda Machame burudani Hakuna kelele haya bwana RIP
Kwani ukiviacha duniani wengine hawatafaidika navyo? Mentality zetu waafrika kwa kiasi kikubwa ziko hivi.14. Hata uwe na nini vyote tutaviacha duniani..Vanity upon Vanity...
Una umri gani?Haya mambo ya dunia yanachekesha na hayaingii akilini. Ati aliijenga wakati anatishiwa uhai wake, kwa ajili ya kujihami ndio akaweka kila aina kinga katika hilo jengo!
Mbona uhai wenyewe umemtoka kimzaha hivi?
Yaani kwa kweli wako kimyaaa...wengine wanasingizia ramadhan wanaacha uswahili kwanza. Maana kuna waliosema hatakanyaga machame
Shame on them
Wahaya naona kwenye uzi huu hawajafika, teh,teh,!
Mimi naifananisha na wivu..husda..chuki..sizitaki mbichi hiziKwani ukiviacha duniani wengine hawatafaidika navyo? Mentality zetu waafrika kwa kiasi kikubwa ziko hivi.
Ndio akili za waswahili sisi zimeishia hapo. Usishangae sana mkuuKwani ukiviacha duniani wengine hawatafaidika navyo? Mentality zetu waafrika kwa kiasi kikubwa ziko hivi.
Yaani nilipoliona hili jengo na mandhari yake, nilijiuliza swali hilohilo, unaenda Dubai kufanya nini wakati sehemu nzuri kama hii ipo?Sasa Mengi walienda Dubai kupumzika kwa ajili gani, anveenda Machame burudani Hakuna kelele haya bwana RIP
SaWaa mke wa mondiAcha wivu wako utakufa hujawahi kumiliki hata 150 million ambazo mondi anazipata kwa wiki tu ohooooo! Roho mbaya inauwa
Kumbe diamond kwa miezi 2 anakula karibia 1 billion [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha wivu wako utakufa hujawahi kumiliki hata 150 million ambazo mondi anazipata kwa wiki tu ohooooo! Roho mbaya inauwa
Tz nzima Kuna mtu mwenye nyumba Kama hiyo? Kilimanjaro ndio role modal aiseeHuyo ndo mchaga Bora kuliko wote .alisikika mkuu mmoja akitamka
Ni kilimanjaro tu zinapatikana Hakuna mkoa mwingineNyumba kama hizi tumezoea kuziona mitandaoni kwamba kina Messi wamenunua kwa bilion kadhaa, kumbe bongo watu wanamiliki