Sifa 13 za nyumba ya Billionaire Marehemu Mengi

Sifa 13 za nyumba ya Billionaire Marehemu Mengi

Hahaha hivi vitu tumezoea kuviona kwenye movies tu. Hio nyumba sijaingia ndani ila nina hakika ina technological gadgets kama zote katika standards za kimataifa. Mambo ya Biometrics milangoni na Underground Bay.

Nyumba ni Kali sana, japo sidhani kama K.Lyn ataendelea kuishi huko bush.
Huko itakua labda vacations tu ndo anaenda.

Possibly mawazo ya mzee baba ni kujenga sehemu ambapo watoto wake wale mapacha wakienda moshi watakua wanapata sehemu ya kufikia na sio kufikia kule kwenye nyumba ya familia(kule alikozikiwa Mengi&the family).

Usishangae hata hati ya nyumba imeandikwa majina ya mapacha(maana sidhani kama kwa exposure ya Mzee Mengi anaweza kua fala).
 
Hao watoto wakubwa sio watu wa kumind vitu Vidogo kama nyumba, wamekua kwenye maisha hayo hayo ya kitajiri ever since they were born kwanza wana nyunba za mapumziko southafrica, Dubai, Newyork, Italy na London ni hekaru kubwa zaidi ya hiyo
For sure,wale watoto wanawaza mambo ya u-chairman wa Co. Yao na sio vitu vidogo kama hio nyumba(sisi makapuku ndo tunawazaga vitu vya vidogovidogo vya dizaini hio).
 
Hiyo ndio tafsiri sasa ya kuwa Bilionea sasa. Na laiti angekuwa hai kina sie tusingewahi kujua kama kuna mjengo ka huo Tanzania hii..

Apumzikage kwa amani Baba wa watu japo pia si ajabu hiyo nyumba ikaja kuzua mgogoro huko mbeleni.
Migogoro ya nyumba ni kwa ajili ya maskini tu mkuu.
 
Tutafute pesa jamani, haya mambo ya kuoneana wivu na kuwasemea wenye pesa zao ni kwa vile tu tuna umasikini mkubwa sana.
 
Huko itakua labda vacations tu ndo anaenda.

Possibly mawazo ya mzee baba ni kujenga sehemu ambapo watoto wake wale mapacha wakienda moshi watakua wanapata sehemu ya kufikia na sio kufikia kule kwenye nyumba ya familia(kule alikozikiwa Mengi&the family).

Usishangae hata hati ya nyumba imeandikwa majina ya mapacha(maana sidhani kama kwa exposure ya Mzee Mengi anaweza kua fala).
Yule dada alivyo nija anaweza kuiuza
 
Tutafute pesa jamani, haya mambo ya kuoneana wivu na kuwasemea wenye pesa zao ni kwa vile tu tuna umasikini mkubwa sana.
Ukweli mchungu sana huu.

Makapuku tunapiga kelele huku,wkt watoto wa marehemu wanawaza majukumu ya kua chairman wa Co. Yao.
 
Diamond platnumz anafanya Show moja ya kimataifa kwa zaidi ya million 35 Hakuna utani katika hili.
Tatizo lako hukuelewa vizuri umekurupuka Si kila wiki anafanya international Shows, Show mbili tu alizozifanya South korea na Oman hela yake wewe mpaka unakufa hutowahi kuimiliki nauhakika huo hata kama umeajiriwa wizara ya fedha otherwise ukadange UK
Kwamba otherwise akadange ulaya huu msemo umeniacha jiapanda.
 
Hahaha ni pazuri kweli ila ni kwa vile hujawahi kuona wao wanaomiliki washapazoea ni pa kawaida tu. Wanaenda sehemu kali kuliko hizo
Inawezekana kuna ukweli juu ya hilo. Ila kwa wenzetu ambao daima tunafuata mambo yao (weupe/wazungu), wanapokuwa na nyumba kama hiyo, na wanataka utulivu, huko ndio ingekuwa sehemu yenyewe. Kwa yanayoongelewa mitaani, walitaka kuwafurahisha watoto, basi pengine Dubai ilikuwa ni sehemu murua kwa hilo. Hata hivyo
yameshatokea, hatuwezi kubadili lolote.
 
Serikali iongee na wana familia ili hii iwe IKULU ndogo, Rais wetu akiwa Kilimanjaro basi anaweza kupumzika - kama nyumba ina vigezo vyote why not? sisi wananchi hatuna tatizo.

Madhari inavutia mno kaa nyumba za unyamwezini... duh.

Cheki kitu cha kaka Puff Daddy kinakaribiana na cha Mzee wetu

View attachment 1093265
Kwa kupenda vizuri tena bila ya kuvitolea jasho, tusishangae wakanyang'anywa!
 
Back
Top Bottom