Sheikh Kipozeo anaongoza msikiti Upi?

Sheikh Kipozeo anaongoza msikiti Upi?

Sasa kama mwanaume atapewa wake 72 lakini atakuwa na nguvu za kiume za kukabiliana na wanawake 100.

Jiulize mbona hakuna tambo za wanawake?? Wanawake ndio unaambiwa ndio watakuwa wengi motoni kwasababu ndio wanaoleta mitihani kwa wanaume na hawajisitiri.
Je wajua kwamba mwanamke akionekana unywele mmoja tu basi ametenda madhambi?? Sasa jiulize je akionekana matiti inakuwaje??
Je unajua kwamba Mungu ni bwana na sio bibi..... ni "he" na sio "she"..., hivi kwanini hasingetafutiwa pronoun yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upiii? Vocha?
Mimi sishughuliki na vocha . Nashughulika na kibunda tuuu kwenye cm , kodi za nyumba , na cash za hapa na pale ... uje ufate mzigo wako kabisaaaa
 
Sina uhitaji wa hivyo vingine. Ni vocha tu nahitaji

Basi kuna package ya vacation kama utahitaji kwenda kutuliza moyo wako popote pale africa. Naitoa kama muhisani tuu niliyetumwa na bwana
 
Mods hivi mnafanya nini kwa upuuzi huu wa kujadili dini kwa image ya kingono,unafiki na kejeli humu? Mbona mpo active kufuta vitu vingine why this shit? Mtoa maada kwanini usingekwenda kwenye jukwaa maalum la dini ukapata info na contacts za kuweza kumpata huyo unayemkubali? Why unaleta upuuzi humu? Youtube haupajui? Unaelewa unachokifanya? Au unasukumwa na hisia za kingono?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom