Sheikh Kipozeo anaongoza msikiti Upi?

Naona umekosa hoja wewe...na umeshindwa kutetea ulichosema.

Uongo ni dhambi sheikh.
Mistari mingapi tumeshawapa ninyi wakristo lakini hamuanini? Mfano mnadai Yesu alizaliwa kwenye ZIZI la ng'ombe! Lakini biblia nzima imesema Yesu alizaliwa kwenye Mlango Bahari. Sasa Zizi na mlango bahari wapi na wapi?
 
Mbona unabadilisha mada mkuu?

Uzushi ni dhambi sheikh...!
Mistari mingapi tumeshawapa ninyi wakristo lakini hamuanini? Mfano mnadai Yesu alizaliwa kwenye ZIZI la ng'ombe! Lakini biblia nzima imesema Yesu alizaliwa kwenye Mlango Bahari. Sasa Zizi na mlango bahari wapi na wapi?
 
Mada inamhusu Sheikh Kipozeo, hilo lingine labda ulianzishie mada tukajadili.

Usiuharibu uzi huu.
Sasa na wewe uliyekuwa unadai mstari kwenye biblia kuhusu wanaume kuoewa wanawake 100 mbinguni hukujua unaharibu uzi?
 
Sikuhitaji kwenye Biblia, nilihitaji katika Qur'an na ilikuwa ndani ya mada kuhusiana na Sheikh Kipozeo.

Wewe unaleta mambo mengine.

Back
Top Bottom