Sheikh Kipozeo anaongoza msikiti Upi?

Mods hivi mnafanya nini kwa upuuzi huu wa kujadili dini kwa image ya kingono,unafiki na kejeli humu? Mbona mpo active kufuta vitu vingine why this shit? Mtoa maada kwanini usingekwenda kwenye jukwaa maalum la dini ukapata info na contacts za kuweza kumpata huyo unayemkubali? Why unaleta upuuzi humu? Youtube haupajui? Unaelewa unachokifanya? Au unasukumwa na hisia za kingono?
Wacha kiherehere dada...kisa huna Msambwanda.

Asifiwe SHEIKH KIPOZEO
 
UKIWA KIONGOZI ANGALIA KUNDI LA WANAOKUFAGILIA ILI UJUE KAMA UKO SAWA AU KHASARA
 
Kwanini wewe usiache kusoma mada hii na uende ukasome zingine?
Mods hivi mnafanya nini kwa upuuzi huu wa kujadili dini kwa image ya kingono,unafiki na kejeli humu? Mbona mpo active kufuta vitu vingine why this shit? Mtoa maada kwanini usingekwenda kwenye jukwaa maalum la dini ukapata info na contacts za kuweza kumpata huyo unayemkubali? Why unaleta upuuzi humu? Youtube haupajui? Unaelewa unachokifanya? Au unasukumwa na hisia za kingono?
 
Mbona unaleta mboyoyo mingi? Nimehitaji huo mstari tu sio Biblia nzima sheikh.
Nikikuonesha mstari utasema nikimstari tu. Si ndio zenu wakristo. Utataka nisome biblia yote niielewe. Mstari huwa hamuelewi.
 
Back
Top Bottom