Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,575
Ikiwa hivyo nabadili dini.
Ikiwa hivyo nabadili dini.
Waafrica sijui nani kawalogaYaani waafrika wengi hapa ndipo mwisho wetu wa ujanja misambwanda tuuuuuuu
Kwani umetahiriwa?Mimi sio muislam lkn namkubali sheik kipoozeo. Nikijua msikiti alipo nitakuwa nahudhuria. Sijui nitakubaliwa !!?
Waliotahiriwa ndio wanatakiwa kuingia msikitini?
Wanawake wataolewa na wanaume wa kibinadamu.yaani huko tutapewa wanawake wa kumwaga.
Utan upi, si yanasemwa na kipozeoOkay tumekusikia ila hii thread yako ni bora ifutwe.........fanya utani na mambo yote ila sio dini
Njoo niku slimisheMimi sio muislam lkn namkubali sheik kipoozeo. Nikijua msikiti alipo nitakuwa nahudhuria. Sijui nitakubaliwa !!?
Napenda tu kumsikilizaNjoo niku slimishe
Ndo tushafika!
Tena anasisitiza kuwa kule kuna mizigo haswa tuswali tuipate Allah Akbar!Huyo Sheikh noma