Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,783
- 95,575
Hapana. Huko kutakuwa kuna utamu zaidi, si wa kidunia dunia!
Hapana. Huko kutakuwa kuna utamu zaidi, si wa kidunia dunia!
Peponi hakuna mwanaume wa Dar asee
Kwa vazi hilo ulilolivaa ktk avatar yako kamwe hutaruhusiwa kuingia msikitiniMimi sio muislam lkn namkubali sheik kipoozeo. Nikijua msikiti alipo nitakuwa nahudhuria. Sijui nitakubaliwa !!?
Tuwekee tafadhali, nami namkubali sana! Rafiki wa sisi "makafiri", kama wanavyotuita wenzake, sio kama wenzake!
Wewe kama umejazia jazia basi Sheikh Kipozeo atakuhusudu inshallah
Ila kama mwembamba ni labda itokee tu, ila vitu vyake ni ile mizigo mikubwa mikubwa ile
Naam.
Najua, hapa sio msikitiniKwa vazi hilo ulilolivaa ktk avatar yako kamwe hutaruhusiwa kuingia msikitini
Tupo nao vizuri..peacewenye dini yao wamekuja! tunalo