Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,572
- 94,867
Kwani hao mabikira 100 wanaopatikana huko sio wanawake?Hapana;
Si wajua tena kuwa kule peponi ili kuondoa wivu hakuingiagi mwanamke?? Pepo ni kwa vidume tu. Wakike hawaingii ile pepo yakhee.
Kwani hao mabikira 100 wanaopatikana huko sio wanawake?Hapana;
Si wajua tena kuwa kule peponi ili kuondoa wivu hakuingiagi mwanamke?? Pepo ni kwa vidume tu. Wakike hawaingii ile pepo yakhee.
Mimi sio muislam lkn namkubali sheik kipoozeo. Nikijua msikiti alipo nitakuwa nahudhuria. Sijui nitakubaliwa !!?
Huyu jamaa ni muumini wa misambwanda (huyu ubaguzi pia kwa flatscreen holders)
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa nami namkubali sana. Anasema Mbiguni tutakuwa tunakula mademu 100. Na nguvu za kuwala hao mademu tutapewa za kutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli. Jamaa alikuwa anamaanisha wanaume. Alidhani mimi ni mwanaume. Kutahiriwa kwa wanawake ni mila na si diniKuuumbe, ndio maana wanawake wa kisomali wanatahiriwa sana.
Usijali tutapata direction hapaukiupata msikii fanya kunitag! tukienda dar tutamuona tu
Pamonga nami mkuu. Kipozeo acha aitwe Kipozeo tu mawaidha yake hupooza na kusuuza roho za wasikilizaji.Yaani mimi na Ukafiri wangu nampenda sana Sheikh Kipozeo.
Hata kidogo shekhe yuko vizuri sana siyo km wale wa kuhubiri mambo ya kutishiana tu full time. Yy anakushawishi kwa kueleza uzuri wa pepo.Hapana, hana shida Sheikh Kipozeo
Neema za Allah..
Upiii? Vocha?Mambo msupuu.... ule mzigo wako upo bado unakusubiria .
Kwani hao mabikira 100 wanaopatikana huko sio wanawake?
Kila la heri kwa mtakaobahatika!Dada,
Usijifariji. Allah (SWT) hakufanya ajizi, bali kaumba vipya kabisa. Hakuchukua hawa wa huku na kuwa rinyuu. Alitengeneza kitu mupya kabisa haijawahi onjwa. Macho yao makubwa ka komamanga ambalo ni tunda pendwa sana peponi.
We unayo macho hayo??
Yaani mimi na Ukafiri wangu nampenda sana Sheikh Kipozeo.