yeddy guyy
JF-Expert Member
- Mar 31, 2015
- 627
- 492
miss Bantu 😉
Hapana wanaume peke yake, inaitwa kwenda sunnaKumbe wanawake wote wa kiislam wametahiriwa? Sijawahi sikia ni kitu kipya kwangu
Inatupa raha sanaYaani waafrika wengi hapa ndipo mwisho wetu wa ujanja misambwanda tuuuuuuu
Ikitokea Dini ikaahidi raha Za peponi nyingi Kuliko Za uislam utahama?
Ikitokea Dini ikaahidi raha Za peponi nyingi Kuliko Za uislam utahama?
Hujajibu swali...Yani ikija Dini ambayo inaoffer vitamu Zaidi pepon Kuliko uislam utahamia?UISLAM ndo dini yenyewe.
Ahadi ya wanawake wa peponi IPO kwenye Quran Sina Shaka.
Kikubwa nipate hyo neema ya kuingia peponi
Hujajibu swali...Yani ikija Dini ambayo inaoffer vitamu Zaidi pepon Kuliko uislam utahamia?
InshaAllah utafika huko
Yani kuipiku kwenye vitu vitam mbinguni.Hakunaa dini itakayokuja kuipiku uislam
Yani kuipiku kwenye vitu vitam mbinguni.
Uislam una magari makali mbinguni?
Mbingu ya kiislam Kuna Simba Na Yanga?
ikija Dini ambayo Ina vitu vyote kama vya Quran huko mbinguni lakini yenyewe Ina vingine vingi vizuri utahamia?
kwenye Huo ulimwengu wa kufikirika utahamia hio Dini? Kwa unavyofikiria?(sio uhalisia)Hizo unazoleta ni hadithi za kufikirika.
Mimi ni muislam wa kuzaliwa na Mungu akipenda nitakuja nikiwa muislam.
kwenye Huo ulimwengu wa kufikirika utahamia hio Dini? Kwa unavyofikiria?(sio uhalisia)
Aah basi usiseme umeupendea uislam Hizo raha Za mbingunSiwezi.mimi NI muislam tu