Sheikh Kipozeo anaongoza msikiti Upi?

Sheikh Kipozeo anaongoza msikiti Upi?

Nasikia kwa Allah kutakuwa na mifereji ya bapa/pombe

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Mimi sio muislam lkn namkubali sheik kipoozeo. Nikijua msikiti alipo nitakuwa nahudhuria. Sijui nitakubaliwa !!?
Yaani Sheikh Kipozeo interests zake naona zinshabihiana na zangu.

Yeye anasema anapenda ile Mizigo mikubwa mikubwa sheikh...!

Abarikiwe Sheikh Kipozeo.

Yaani Sheikh Kipozeo interests zake naona zinshabihiana na zangu.

Yeye anasema anapenda ile Mizigo mikubwa mikubwa sheikh...!

Abarikiwe Sheikh Kipozeo.

Neema za Allah..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom