Sheikh asema bima ya afya ni haramu katika uislamu

Sheikh asema bima ya afya ni haramu katika uislamu

Wakiristo wengi washazoea kufanyiwa dhuluma. Wao wanaona sawa, ndio maana utakuta mfanyakazi anafanya kazi lkn kipato chake chote hakionekani na anakufa maskini kwa mambo kama haya
Saudia sio kigezo, Vatican wanasupport ushoga, jee hio ndio tuige huko
 

Attachments

  • 1745744362522.jpg
    1745744362522.jpg
    325.5 KB · Views: 9
Wakiristo wegi tunaona wanatolewa mapepo na wahungaji wa makanisani, wakiristo ndio wanaongoza kutoana mapepo ktk makanisa na sio waislamu
Wakristo wavaa hirizi zenye maandishi ya kiarabu na aya za quran?
 
Alekomuslamu.

Kiislamu hata kwenda hospitali ni dhambi, Muislamu hatakiwi akiumwa aende hospitali, anatakiwa asomewe Sunnah na kunywa maji ya Zamzam.
 
Inaiuwa swadakaaa kwa wengine wanao umwa au swadaka ni haramu kwa mudi boy
Wakiristo hawa, mwisho wa siku mtu anasatafu pesa zake zote zimepotea ktk vitu ambavyo vinawapatia faida watu wengine matajiri
 
Back
Top Bottom