Sheikh asema bima ya afya ni haramu katika uislamu

Sheikh asema bima ya afya ni haramu katika uislamu

Wakiristo wengi washazoea kufanyiwa dhuluma. Wao wanaona sawa, ndio maana utakuta mfanyakazi anafanya kazi lkn kipato chake chote hakionekani na anakufa maskini kwa mambo kama haya
Inawezekana hata mtume wenu huko aliko anawasikitikia sana, maana watu wake mmekuwa too rigid, mambo yanabadilika na risk zinaongezeka.

Kama ni hivyo muislam akipungukiwa damu asiongezewe maana ni dhulma pia, ile damu siyo yake. Mkifanya hivyo it will be far better kwa afya ya ulimwengu, maana your generation will be vanished.

Ila kwa mabadiliko ya teknolojia ni either mbadilike au mpotee, the second one will face you🤔
 
Akihojiwa na Maks Media, Sheikh huyu amekuja juu na kudai bima ya afya ni haramu na ni dhulma katika uislamu hivyo kuwaasa waislamu kutojiunga na mfuko wa bima.

Msikilize mwenyewe hapa Sheikh akikinzana na elimu dunia kwa kutumia elimu akhera

View attachment 3317374
Sheikh wa Trump kakataa "individual mandate" huyu.

Hamjamuelewa tu 😂😂😂
 
Umemsikiliza? Au kwa sababu hoja katoa muislam? Bima ya afya yetu ipo ktk mfumo wa haki?
malaria kwa hoja za sheikh kwamba ""mmekubaliana?"" huoni anajipinga mwenyewe? --- kwani mtu anajiunga mfumo wa bima si anakubali mfumo wake ulivokaa kwamba kila mwaka tunachanga watakaoumwa wanatibiwa??

kujiunga sio ishara ya kukubali?
 
Inawezekana hata mtume wenu huko aliko anawasikitikia sana, maana watu wake mmekuwa too rigid, mambo yanabadilika na risk zinaongezeka.

Kama ni hivyo muislam akipungukiwa damu asiongezewe maana ni dhulma pia, ile damu siyo yake. Mkifanya hivyo it will be far better kwa afya ya ulimwengu, maana your generation will be vanished.

Ila kwa mabadiliko ya teknolojia ni either mbadilike au mpotee, the second one will face you🤔
Wakiristo wa hf wanajifanya wasomi kumbe 0 kabisa
 
Wakiristo hawa, mwisho wa siku mtu anasatafu pesa zake zote zimepotea ktk vitu ambavyo vinawapatia faida watu wengine matajiri
Kweli kabisa shekh wangu kwanini tutajilishe wengine wakati mufti Samia bushiri kaenda kwa wajomba zake kutuletea maji matukufu ya ZAMZAM tutayanywa na kupona magonjwa yetu.
 
uislamu wa tanzagiza huo, i blessed the day Wamishionari walivyokanyaga ardhi yetu vinginevyo leo hii wote tungekuwa muslims and backward, kule nigeria wanazuia watoto kwenda shuleni, hatari kweli kweli …
wazungu wanamsemo mmoja -- ""it's a two way traffic"" (lugha kwa hisani ya mkoloni)
 
K
Kwanini? Kama hukuumwa pesa inaenda wapi?
Kuna kitu huelewi mfano wewe unachangia laki moja lakini unaruhusiwa kupata matibabu ya milioni 10 ukiugua

Hizo za ziada zinatoka kwa wale ambao Mwenyezi Mungu kawapa afya hawajaumwa kama mchango wako kwako unayeumwa automatic

Kuhusu kuridhia kunakuwepo kwa kujaza fomu ya bima ya afya
unajaza kama unakubali
 
malaria kwa hoja za sheikh kwamba ""mmekubaliana?"" huoni anajipinga mwenyewe? --- kwani mtu anajiunga mfumo wa bima si anakubali mfumo wake ulivokaa kwamba kila mwaka tunachanga watakaoumwa wanatibiwa??

kujiunga sio ishara ya kukubali?
Wote wameukubali au wamelazimishwa?
 
Kuna kitu huelewi mfano wewe unachangia laki moja lakini unaruhusiwa kupata matibabu ya milioni 10 ukiugua

Hizo za ziada zinatoka kwa wale ambao Mwenyezi Mungu kawapa afya hawajaumwa kama mchango wako kwako unayeumwa automatic

Kuhusu kuridhia kunakuwepo kwa kujaza fomu ya bima ya afya
unajaza kama unakubali
Wafanyakazi wa umma wapo waliokataa?
 
Tataizo watu wengi likija suala la Dini huwa wana mihemko na hoja dhaifu za dhihaka na kejeli na hata matusi.

Kama hijachimba zaidi na kusoma sababu za kila kitu basi utakuwa huna hekma kwa kurukia mambo.

Tujifunze kuwa na subra na pia kujaribu kuelewa mambo na kuuliza
Kwani mkiuliza kwanini kasema hivyo au kuuliza zaidi utapatwa na nini?

Ni vizuri kwanza ukiona kitu hukijui bora kuuliza.

Hapo utapata majibu badala ya kejeli
Inakuwa vigumu kumjibu mtu alie against na dini yako kama hataki kujua
 
Wafanyakazi wa umma wapo waliokataa?
Hawakatai sababu mwajiri huwachangia pia tena wanachangia kidogo halafu wanapata matibabu ya familia nzima wakatae wana pesa za kutibia familia nzima wakiumwa toka mifukoni mwao ?
 
Point yake,wewe unachanga laki moja je ukiuguwa gonjwa la gharama la milion moja...
😄

Ova
 
Tataizo watu wengi likija suala la Dini huwa wana mihemko na hoja dhaifu za dhihaka na kejeli na hata matusi.

Kama hijachimba zaidi na kusoma sababu za kila kitu basi utakuwa huna hekma kwa kurukia mambo.

Tujifunze kuwa na subra na pia kujaribu kuelewa mambo na kuuliza
Kwani mkiuliza kwanini kasema hivyo au kuuliza zaidi utapatwa na nini?

Ni vizuri kwanza ukiona kitu hukijui bora kuuliza.

Hapo utapata majibu badala ya kejeli
Inakuwa vigumu kumjibu mtu alie against na dini yako kama hataki kujua
Wakiristo wa jf wanajiona wamesoma kumbe 0, wakimuona muislam katoa hoja wanaona hawakusoma wao wamesoma, mwisho wa siku wanalalamika kila kitu kimetengenezwq nje hata kibiriti cha gesi, sasa nyinyi si mumesoma? Au mumesomesea against Islam na sio technology
 
Hawakatai sababu mwajiri huwachangia pia tena wanachangia kidogo halafu wanapata matibabu ya familia nzima wakatae wana pesa za kutibia familia nzima wakiumwa toka mifukoni mwao ?
Umefanya utafiti? Au unaongea tu? Kuna watu wanakatwa laki 4 hana mtoto hata mmoja na hjaumwa.
 
Back
Top Bottom