Nadhani alichelewa kwenda kununua busara dukani kabla ya kwenda huko.Allah awe mwenye kumrehemu.Aaaiiimiiin!Hapakuwa na haja ya kusema haya sehemu ile
Yeye anatimka kwenda kwa shoga yake rob amster. Hilo mbona liko wazi tu!"Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?"
Sheikh KapotokaShehe yuko sahihi kwa sababu alikuwa anawahutubia Wasio Waislamu
Yeye hapo hajui kuwa anaendeleza maneno yaleyale ya kunukisha? WaTanzania waliowengi wanasumbuliwa na rohoo mbaya pamoja na kutokujitambua.Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa.
"Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed Mawinda
Alisahau ulimi wake nyumbani.Sheikh Kapotoka
My Take
Hakuna Haki ya kudai.kwa kuvunja amani .
View: https://www.instagram.com/reel/DLuZN1ktspV/?igsh=MXBtOWp3OXJ0ZTYzdg==
Utakuwa jmetimiza wajibuSasa,ukishakatwa kichwa/kuuuliwa,utajuaje kama nchi imebaki na hiyo amani.Au mpangilio wa sentensi ni mgumu?
My Take
Hakuna Haki ya kudai.kwa kuvunja amani .
View: https://www.instagram.com/reel/DLuZN1ktspV/?igsh=MXBtOWp3OXJ0ZTYzdg==