kesi ya tundu lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaalika Watu wote Duniani kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu 10/08/2026, yumo Martha Karua wa Kenya aliyewahi kuzuiwa na serikali ya Tanzania

    Taarifa yao waliyoisambaza kote Duniani hii hapa Kwa wasiojua lugha ya madafu hii hapa chini ni ya kimombo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa yatupilia Mbali Maombi ya DPP ya Kuongeza Ushahidi Katika Kesi ya Tundu Lissu

    Leo, tarehe 30 Julai 2026, Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetoa uamuzi muhimu katika shauri lililomhusisha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) dhidi ya Tundu Antiphas Lissu. DPP alikuwa amewasilisha maombi ya kupitia upya uamuzi wa Mahakama Kuu uliokataa jaribio la upande wa mashtaka la kuwasilisha...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Bwana Jela wa Ukonga, Andrew Ntamamiro akifanyiwa dodoso na Tundu Lissu - Siku ya pili

    Mahakama imeanza soon nawaletea Updates za kesi. Huu ni muendelezo wa kesi inayomuhusu Mwenyekiti wa chadema dhidi ya haki za mawakili kutpewa vikwazo na mamlaka za magereza kukutana na wateja wao ikiwemo haki ya faragha na kutosikilizwa kwa mazungumzo baina ya mawakili na wateja wao. Stay...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu; Mkuu wa Gereza la Ukonga anaivua Serikali nguo

    Mkuu wa Gereza la Ukonga, Bwana Andrew Shabani Tamanjiro, amedai kuwa alipofika Ukonga Prison hakukuta utaratibu wa ndugu wa Mwenyekiti kumtembelea gerezani siku ya Jumamosi na wanachama kumtembelea siku ya Jumapili. Aidha, amesema kuwa hakujua wala hakukuta mazingira ambayo Mwenyekiti Tundu...
  5. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Lissu afikishwa mahakamani leo, ulinzi waimarishwa

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo @chadematzofficial Tundu Lissu leo Julai 21, 2026 amefikishwa Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dodoma kwa ajili ya shauri la Kikatiba kuhusu haki za Mawakili ikiwemo haki ya faragha pindi wanapomtembelea gerezani. Shauri hilo limefunguliwa...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali ya Tanganyika ina washauri wa kisheria? Kesi ya Tundu Lissu ilipata kufutwa maanda uhaini sio kosa la wizi wa kuku

    Ukisoma ibara zote za Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kosa pekee la uhaini ambalo limetatwa kwenye katiba ni uhaini. Kwa mujibu ya ibara ya 28 (4) uhaini ndio kosa kubwa kuliko yote hapa nchini. Maana yake kama mtu ni mhaini lazima uwe na ushahidi uliokamilika kama kweli uhaini...
  7. McLaren

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu kuendelea kesho Julai 3, 2026

    Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa kesho Ijumaa, Julai 3, 2026, Mahakama ya Rufani ya Tanzania itakayosikiza jijini Dar es Salaam maombi ya marejeo Na. 7440840/2026 yaliyowasilishwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) dhidi ya Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu iliyopangwa kusikilizwa Juni 11, 2026 yaahirishwa hadi Julai 6, 2026

    Kesi ya Tundu Lissu iliyopangwa kusikilizwa Juni 11 yaahirishwa hadi tarehe 6 Julai 2026 TAARIFA KUTOKA CHADEMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma kuwa shauri la Maombi ya Jinai Na. 7440840/2026 kati ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) na Mwenyekiti wa CHADEMA...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama inasema nini kuhusu kesi ya Tundu Lissu kwa sasa?

    Je, kuna taarifa zozote mpya za hivi karibuni toka mahakamani kuhusu mwenendo wa kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA? Kama mahakama ni chombo cha kulinda haki ya kila mtu haiwezi kunyamaza tu bila ya taarifa yoyote kuhusu mtu anayeshikiliwa mahabusu bila ya maelezo yoyote; na hasa wakati kesi yake...
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Jaji Mkuu aeleze sababu za kesi ya uhaini ya Tundu Lissu kutosikilizwa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa wito kwa Jaji Mkuu wa Tanzania kuelezea umma sababu kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu kutopangiwa tarehe ya kusikilizwa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa jaji mkuu wa Tanzania kuhusu kuharakisha kesi ya Tundu Lissu

    BARUA YA WAZI KWA JAJI MKUU WA TANZANIA KUHUSU KUHARAKISHA KESI YA TUNDU LISSU Mheshimiwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Ninakusalimu kwa heshima kubwa, nikitambua nafasi yako muhimu katika kusimamia utoaji wa haki nchini. Lengo la barua hii ya wazi ni kuwasilisha ombi la msingi na la haki kuhusu...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Mawakili wa Jamhuri hawajarudi kwenye chumba cha Mahakamani kuendelea na Kesi

    Wakuu Inadaiwa mawakili wa Jamhuri hawajaonekana na hawajarudi Mahakamani mpaka muda huu. Karani amesimama na kuseeleza kuwa kuna jambo limejitokeza anaenda kutafuta ufafanuzi kwa msajili wa mahakama na atarudi kuleta mrejesho. Mwenendo wa Kesi > Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi...
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lissu kwa Shahidi (P9): Sijamalizana na wewe. Nataka ukitoka hapa ukawaeleze Mapolisi kwamba kule (Kizimbani) hakufai!

    Haya ndugu zangu Lissu anaendelea kupitisha dozi huko. Hii statement alivyoitoa mahakamani kila mtu alicheka Soma Pia: Shahidi wa Kesi ya Lissu (P7): Nauli ya kuja mahakamani leo nimepewa na mwanamke wangu. Ndiye ananiweka mjini Kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 17, 2026, mashahidi...
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu: Wachache wahudhuria mahakamani kwa sababu ya mvua, Kesi yaahirishwa baada ya Jamhuri kuwa na shahidi mmoja

    Wakuu, Tundu akiwasili Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam ambapo leo kesi ya uhaini inayomkabili itaendelea Dada wa Mhe. Tundu Lissu akiwasili Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili mdogo ake...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 17, 2026, mashahidi wa Jamhuri wasiopungua watatu wangojewa

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, inatarajiwa kuendelea leo, Februari 17, 2026, katika Mahakama Kuu, Masijala Ndogo, Dar es Salaam. Leo kesi hiyo itaendelea kusikilizwa mfululizo katika hatua ya ushahidi, ambapo tayari mashahidi wanane wa Jamhuri wameshatoa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baada ya takribani miezi mitatu, kesi ya Tundu Lissu kuendelea leo Februari 9, 2026

    Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' Tundu Antiphas Lissu inatarajiwa kuendelea leo Febriari 9, 2026 Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es salaam. Kupitia taarifa Rasmi iliyotolewa na CHADEMA jumapili jioni Februari 08, 2026...
  17. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Mdau anauliza, Kwanini mahakama imefuta video za kesi ya Tundu Lissu zilizokuwa zikirushwa live kwenye Channel ya mahakama?

    Mwenye Kuwa na ufahamu wa Kwanini videos zimefutwa.
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Wananchi 16 wajeruhiwa kwa vipigo vya Polisi wakifuatilia kesi ya Tundu Lissu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Wanachama wake kadhaa leo wamepigwa na Polisi wakati walipofika Mahakama kuu asubuhi ili kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu. Pia Soma: CHADEMA: Polisi wawatawanya Wananchi waliofika...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama na Viongozi wa CHADEMA wafanya maombi Mahakamani kabla ya Kesi ya Tundu Lissu

    Wanachama wa CHADEMA pamoja na Viongozi mbalimbali wakifanya maombi ndani ya Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kabla ya kuanza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu. Wafuasi wa Chama cha CHADEMA wamefanya maombi ndani ya ukumbi wa Mahakama Kuu ya...
  20. Msanii

    JamiiForums Tanzania Polisi Morogoro wanacheza na dhamana ya Lucy Shayo aliyekamatwa akiwa njiani kuhudhuria Kesi ya Tundu Lissu

    Ni takribani Siku Tatu Polisi Morogoro Wanamshikilia Lucy SHAYO kinyume na Utaratibu wa Jeshi la Polisi. Mpelelezi wa Lucy na R.C.O wa Morogoro Wamekuwa wakizikimbia Ofisi zao kwa siku zote ili kunyima haki ya Dhamana ya Lucy Shayo. Ni kwa bahati mbaya sana Dhamana ya Lucy Shayo haiwezi...
Back
Top Bottom