kesi ya lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Lissu waibuka kidedea, Gereza la Ukonga lapewa maagizo

    Mahakama Kuu ya Tanzania imeuagiza uongozi Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kufuata taratibu za Kanuni za Uendeshaji wa Magereza kwa kutowanyima Mawakili na Washauri wa kisheria kuzungumza na mteja wao lakini pia maafisa magereza kusimamia maongezi hayo kwa kukaa umbali ambao wataweza kuona...
  2. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunaendelea kusubiri hukumu ya kesi ya Lissu, ni mambo gani ya kisheria yanayostahili kuangaliwa

    Ngoja nikwambie kitu kimoja kuhusu kesi hii. Ukiisikiliza kwa juu juu, unaweza kudhani mjadala mkubwa ni kwamba Lissu alisema maneno gani na aliyamaanisha nini. Lakini ukiingia ndani ya sheria, utaona kwamba swali la msingi ni kwamba.. Je, Jamhuri imethibitisha kwamba maneno hayo yanatimiza...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mahakamani 29 Septemba 2026: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Leo ni siku ambayo kesi ya Lissu inaendelea mahakamani. Tunaomba Manyanza utuletee hiyo Update. MAHAKAMA IMEANZA MAWAKILI WA SERIKALI WANAFANYA MAJUMUISHO YA MWISHO. SEHEMU YA 1. Jumanne, Septemba 29, 2026 Lissu ameingia kwa kushangiliwa sana. Majaji nao wameingia. Mawakili wa Serikali...
  4. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Huenda yale tunayo yashuhudia kwenye vitasa tukayaona pia kwenye kesi ya lissu

    On my way to job nikajikuta tu napata mawaza haya nikiwa ndani ya dala dala,yes ndani ya daladala Wale wafuatiliaji wa ngumi maarufu Vitasa live,huwa tumeshawahi kushuhudia bondia wetu wa Tanzania akipigwa live ulingoni na raia wa nchi nyingine, lakini mwisho wa siku majaji wa vitasa wakatoa...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hukumu kesi ya Lissu iwe kinga na zindiko

    HUkumu ya kesi hii ni mtihani kwa majaji dhidi ya Taifa na wananchi mmojammoja kwakuwa itatumika kuhukumu watu wengine watakaofanya kama alivyofanya Lissu na chadema. Itatumika pia kulikinga au kulihatarisha Taifa na uharibifu kama ule usitokee au utokee tena kwa mbinu zile.za trh 3 April 2025...
  6. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Kosa Kubwa Kupata Kufanywa na Serikali Yetu Katika Historia ya Nchi Hii ni Kutokuionyesha KESI YA LISSU LIVE KWA SASA

    Kama nchi bila kujali yapi yatakuwa Matokeo ya mwisho, yaani Hukumu kwa kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu kutokuionyesha na kuweka kumbukumbu ya documentary ya video. Hakika hii ilikuwa daresay la Aina yake katika mifumo yetu ya sheria na mienendo ya uendeshaji ambayo ingeingia katika historia kwa...
  7. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Majaji wanaweza kuwa na hukumu yao na sisi JURY tukawa na hukumu yetu.

    Kwa nchi kama USA kesi huwa zinaendeshwa na Majaji lakini wanaotoa hukumu ni Wananchi wenyewe ambao wanajukana kama Jury. Sasa kwa kesi ya Lissu wananchi tumeifuatilia vizuri sana na ushahidi wa pande zote tumeuona. Kama ikitokea Majaji wakatoa hukumu yao tofauti na Jury nafikiri dunia nzima...
  8. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza wakuu wa vyombo vya ulinzi kuikatalia mahakama kuhusu kutoa ushahidi kesi ya Lissu

    Sina neno tena, kama mahakama ilikiri ushahidi uliotolewa haukuwa na maana yoyote ila wakaforce kesi ya kujibu ipo basi watafutane wenyewe hapo mahakamani wajibu kesi yao. Kongole kwao japo siwapendi
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Heche ananufaika na kesi ya Lissu sio waongo, amethibitisha

    Huwezi kupata fedha halafu zote ukaenda kuzitumia kununua magari. Bila shaka fedha ya kununulia magari ni sehemu ndogo tu ya fedha anayopata mtu, maana hata hayo magari yatahitaji kufanyiwa services na matumizi mengine kama ada za watoto, nk. Kama Heche ametumia fedha nyingi kununulia magari...
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania CDF na IGP kwa uelekeo huu kamwe hawatopanda mahakamani kwenye kesi ya Lissu

    Boksi la Pandora kuhusu mauaji ya October 29 limeanza kufunguliwa leo. Hili boksi lina mambo mengi machafu. Lissu kuanza kulifungua kupitia ushahidi wa Heche ana makusudi makubwa sana. Imagine IGP anaulizwa ieleze mahakama October 29 nini kilitokea? Imagine aulizwe nani alitoa amri ya watu...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania HECHE Una siku 13 za kuamsha Ari na Utayari wa Maandamano NCHI nzima , Kuna uwezekano LISSU akafungwa

    Kuanzia Kesho Mikutano ifanyike NCHI Nzima, Kila Tawi, Kata, Wilaya, Mkoa , Itisheni Mikutano ya Dharura NCHI nzima, mkihamasisha Wananchi Kua Tayari na WASIKUBALI KAMWE LISSU KUFUNGWA !!. KAMA KUKINUKISHA HII SASA IWE KWELIKWELI KUKINUKISHA. Na katika hili, niwalale TEC kua Tayari kuongoza...
  12. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Je, mahakama kukataa kuwa summon Rais Samia, VP Mstaafu Philip Mpango na PM Mstaafu Kassimu Majaliwa inaathiri "Fair trial" ya kesi ya Lissu?

    By Advocate Paul Boniventure; Jibu la moja kwa moja ni NDIYO inaweza, lakini kwa upande mmoja pia ni HAPANA kwa sbb ni discretion ya kawaida ya kisheria ya mahakama kuchukua uamuzi huo kwa kuzingatia relevance ya shahidi na ushahidi. Nitaeleza... Yes, uamuzi huu ni mgumu na mzito sana kwa...
  13. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu imegeuka jukwaa la CHADEMA kuiambia dunia madhila wanayopitia

    Natamani ningekuwa muhenga angalau hata kwa siku moja, ili nionje ladha kidogo ya uwezo wa kuona mbali. Iliwezekanaje miaka tele iliyopita, muhenga mmoja akang'amua kuwa, kumpiga chura teke ni kumuongezea hatua? Leo hiki ndicho kinachoendelea kwenye kesi ya Lissu. Kwamtazamo wa haraka haraka...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru Atoa Agizo Kesi ya Lissu Ikamilike Ndani ya Siku 14

    Jaji Ndunguru Atoa Agizo Kesi ya Lissu Ikamilike Ndani ya Siku 14 Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imeongeza siku 14 za usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, huku ikizitaka pande zote kushirikiana ili...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Lissu: Msiniache ukonga pekee yangu nadoda, mje kuniona

    Karibuni Ukonga' - Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, imendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania ambapo leo maswali ya dodoso kwa shahidi namba tatu Aman Sam Golugwa yaliendelea
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa sheria tupeni uelekeo wa kesi ya Lissu, tunaye au watamnyonga

    Kwenye betting tunasema cash out Ukiwa unatazama game inavyoenda unaweza kuona uelekeo na kutoa mzingo Mnyukano wa hoja unaendelea Namkumbuka 1. Walianza mashahidi wa Jamhuri 2. Ushahidi muhimu wa video na picha ulikataliwa, ambao ulikuwa muhimu 3 TAL akiwabana Mashahidi wa kubumba 4...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Imagine Waziri wa Mambo ya Ndani anaitisha Press kujadili kalio la Pipy Tida, na vichambo vya Anko T!

    Sawa hatujawachagua mkajiweka wenyewe kwenye hivyo viti, unajua mwenye akili hata anajibaraguza walau kufanya mambo vizuri ili apate kukubalika hata kidogo, ila wapuuzi ndo kwaaanzaaa wanatutibua vuz* Yaani unaitisha press kabisa kujadili kalio la Pipy, sijui vichambo vya Ankon T, mara sijui...
  18. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu Imeweka Wazi Uwezo wa Mawakili wa Serikali Ulivyo. Ndio Sababu Kesi Zote za Mikataba Nje Tunashindwa kwa Aibu Sana

    Nimeyasikia mahojiano ya Wakili wa serikali Said Katuga kwa shahidi wa utetezi John Mnyika mpaka nimefunika uso kwa aibu. Aina ya maswali, mpangilio wake na nia yake haiendani na kesi ya msingi hata kidogo na hana weledi kiasi kuwa kama hawa ndio watetezi wa kesi zinazofunguliwa dhidi ya...
  19. Nexltshahda

    JamiiForums Tanzania A to Z kesi ya lissu siku ya leo

    Mwenendo wote wa leo, Agosti 31, 2026 SEHEMU YA PILI Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu [Majaji wanaingia Mahakamani.] [Mheshimiwa Mnyika na Mheshimiwa Lissu wapo Mahakamani.] WAKILI WA SERIKALI: Waheshimiwa Majaji, kwa upande wa Jamhuri tupo tayari. Shauri linakuja kwa ajili ya...
  20. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu nayo imekuwa kama drama tu

    Hapo ni magumashi na wanalia timing tu, hakuna kitu wanafanya au yeye anafanya kita leta constructive change. Kubali ukatae that's a plain truth.. Kesi week nzima, haiishi... Mara mtu aambiwe hana kesi, mara wazushe nyingine, hii yote ni kwa sababu katiba hakuna.. And that's the weapon
Back
Top Bottom