GE2025 Sheikh aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu kanisani kwa Mwamposa. Asema 'Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?'

GE2025 Sheikh aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu kanisani kwa Mwamposa. Asema 'Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?'

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Anakimbilia Belgium si ndo kawaida yake
 
Huyu mwamposa tapeli anasema anafukuza majini imekuaje Leo madhabahu yake imekaliwa na baadhi ya watu wanaofuga majini na hatuoni hayo majini yakikimbia? Hivi wale wanaopiga kelele kwamba mapepo yanatoka huwa anawatoa wapi? Maana huyu jamaa ni mtaalam sana wa maigizo
 
Nimecheka sana mkuu 🤣🤣🤣
 
Mimi mpaka leo sijaelewa maana ya "kukinukisha"! Nangoja siku kesi ya Lissu itakapotajwa tena aje atufafanulie mahakamani.
Maana kwa sasa siyo kwamba anakuja kujibu kesi,anakuja kuifundisha mahakama sheria.
 
Kuna siku niliwah msikia shekh wangu anasema,,,, Technology yoooote Dunian, yaani yooote imeletwa na mtume😎
(Waumini wakashangilia pale kwa takbir nyingi...
Ilibidi nitoke nikachekee nje, halafu nirudi na sura kavu!!

Itoshe tu kusema mashekh zetu Kuna mda mnatukosea sana....
Ona sasa mnafanya jina la kobazi lizidi kupata nguvu hum jf🚶🚶
 
Sperm ya Shekhe bora angekunywa mtu 🚶🏿‍➡️
 
Back
Top Bottom