Series (Special thread)

Series (Special thread)

Yeah.... Wakorea
Ila sikujua kama reaction ya watu itakuwa kubwa eti kisa ni ya Korea.
This time nitaleta series kali ya Marekani. Leo naanza series nyingine

Inshu ni lugha,wengine subtitles hatupendi mana tuna miss some actions na kustopisha kwingi.

Though series zao huwa zina maudhui mazuri kama ile the squid game.
 
Inshu ni lugha,wengine subtitles hatupendi mana tuna miss some actions na kustopisha kwingi.

Though series zao huwa zina maudhui mazuri kama ile the squid game.
Hiyo ina dual subtitles
Unachagua lugha iwe English au Korean. Hata hivyo series ya Kikorea niliyoipenda kuliko zote ni "ALL OF US ARE DEAD", then Squid Game inafuatia, at least for me
 
Fatilieni hii sio powa ni fujoo sana 🔥
twisted-metal-poster-691x1024.jpg
 
HIJACK

Mawazo yangu mimi hii series imeisha sijui kama kutakua na season 2 sabb story ilikua inamuhusu SAM na Sam na familia yake wapo salama endapo kama Sam angepoteza mke au yule mtoto wake basi kungekuwa na ulazima wa season 2 sababu Sam angetaka kulipa kisasi kwa wabaya wake , wale jamaa waliokimbia na hela sio kazi ya sam kuwatafuta hao watatafutwa na interpol.
 
What if sam ni under cover na akaingia huko interpol?

Maswali yaliyobaki. Nini hatima ya waliokamatwa je watapanga njama nyingine ya kutoroka? Sam hajakutana na familia yake hata hijack ilipo isha. Hilo swala linakuambia nini? Tuliona mfanyakazi waamlaka ya anga akiuwawa nyumbani kwake nini hatima?

Naona season 2 ikija
 
Sam kukutana na familia yake haina ulazima kwanza kumbuka mke wake anaishi na mwanaume mwingine Sam anachofanya ni kufosi mapenzi , kuna kitu kuhusu wale majambazi hujakielewa wale jamaa walikua ni watu tuu wakawaida mtaani familia zao zimetekwa wakalazimishwa kufanya hijack wakat hawana uzoefu wowote mtu ambae hajawai kuwa jambazi anawezaje kufanya mipango wa kutoroka jela na wale wanapelekwa moja kwa moja kwenye maximum prison, kumbuka kuna mda Sam aliwauliza inamaana mmeiteka ndege alafu hamjui inafanyaje kazi ?? Kuonesha kwamba wale jamaa hawana uzoefu wowt kwenye ujambazi Sam ndo alikua anawaongoza kwenye mipango mingi wao wenyew walikua hawajui chochote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom