Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hata iwe 1440 mwandishi wetu wa mashairi, ila bado hujanishawishi..!!
Hahahaha we hujui kuangalia movies zenye Quality kubwa zina utamu wake pia?

Majuzi nimeshusha movie moja ya kizamani ya Donnie Yen ile Tiger Cage ya mwaka 1988.

Movie nimeishusha ikiwa na 5GB

Screenshot_20230801-215337.png
 
Hijack imeisha vizuri sana
Imeisha? Star hajaonana na familia yake, hatma ya wale majambazi wawili haijajulikana wameimalizaje kizembe namna hiyo!!! Bora episode 7 wangeipa dakika 190 kuliko zile 56 ambazo hazikuonesha hayo niliyo taja hapo juu
 
Imeisha? Star hajaonana na familia yake, hatma ya wale majambazi wawili haijajulikana wameimalizaje kizembe namna hiyo!!! Bora episode 7 wangeipa dakika 190 kuliko zile 56 ambazo hazikuonesha hayo niliyo taja hapo juu
Mambo mengine subiria Season 2 kama itakuwepo
Mimi nilisoma sehemu kuwa HIJACK ina episode 7 tu na kila episode inakuwa released siku ya Jumatano, saa 2 asubuhi (kwa saa za London)

Kwa hiyo ni more likely episode 7 ndio ya mwisho
Screenshot_2023-08-03-05-12-03-090_com.android.chrome.jpg
 
From S01 & S02 nimezimaliza sasa nasubiri muendelezo. Sharauti sana kwako Reuben Challe

Wakati srver zipo down nilikuwa jikoni napakua Episode 7 ya Hijack
Screenshot (14).png


Screenshot (13).png


Saizi nipo naicheki hapa
Screenshot (19).png


Nikitoka hapo naamia Tehran afu nagusia kidogo na The Bear
 
From S01 & S02 nimezimaliza sasa nasubiri muendelezo. Sharauti sana kwako Reuben Challe

Wakati srver zipo down nilikuwa jikoni napakua Episode 7 ya Hijack
Screenshot (13).png

Screenshot (14).png

Saizi nipo naicheki hapa

Screenshot (19).png

Nikitoka hapo naamia Tehran afu nagusia kidogo na The Bear
 
Hii list nimecopy na ku paste tu. Kama kuna moja kali umeiona hapa, mtuambie tukaangalie


Recommendation)
1. Citadel
2. From
3. Silo
4. The Witcher
5. Tron legacy
6. Tears of the sun
7. Knights of the Zodiac
8. Fast X
9. Extraction 2
10. Sisu
11. Blood & Gold
12. Transformers rise of the beasts
13. Avatar the way of water
14 Brahmastra
15.Pathaan
16. Runaway 34
17. Troy
18. Predator movie collection
19. Percy Jackson movie collection
20.The chronicles of Narnia
21. Indiana Jones and the daily of destiny HD Cam
22.Insidious True HD
23. The out-laws
24. The Crowded Room S1
25.KGF 1&2
26.RRR
27. Adipurush
28. Halo
29. Reacher S1
30. Transformers rise of the beasts HD
31. Mission impossible 7 HD CAM
32. Bird Box
33. The mask 1994
34. 2012
35. The Flash 2023 HD
36. Adhura
37. Dragon Tiger Gate
38. 14 Blades
39. They cloned Tyrone
40. I am number four
41. Eastern Condors
42. Get out
43. Queen Charlotte: A Bridgerton Story
44. Sucker punch
45. Hidden Strike
46. Seventh Son
47. Outlander (2008)
48. Everything Everywhere All At Once
49. Underworld Movie Collection
50. Talk to me 2 HD CAM
51. Guy Ritchies The Covenant
52. Sound of Freedom HD
53. Ninja assassin
54. Cobweb HD CAM


African made:
1. Here love lies
2. Ile Owo
3. Obara'm
4. Ijakumo
5. Lockdown
6. A lot like love
7. Passport
8. Sin city
9. Gangs of Lagos
10.here love lies
11.Mr. Ibu
12.Aki and Pawpaw
13. Tenis Big Day
14. Stripped
15. 5 Days in Prison
16. Better Half
17. Serwaa TV series ongoing
18. Lies in between
19. Yahoo+
20. Detty Thirty
21. More Than Enough
22. Pretty Evil
23. To Freedom
24. Chasing Lullaby
25. Desperadoes
26. Bad cop
27. The Other Side


Anime:
1. Hell's paradise
2. Jujutsu Kaisen ongoing
3. Blades of the guardians (ongoing)
4. Mashle
5. Demon slayer
6. Mushoku Tensei ongoing
7. Baki
8. Bleach TYBW
9. Bleach TYBW Part 2 ongoing
10. Record of Ragnarok
11.Rurouni Kenshin Remake ongoing
12.Fog Hill of 5 elements
13. Afro samurai resurrection


Animation:
1. Spiderman across spider verse CAM RIP.
2. Elementals
3. Skull island
4. Nimona
5. Mortal Kombat
6. SuperMario Movie
7. My. Adventure with superman
8. Invincible S1
9. Kizazi Moto
10. Tekken Blood Vengeance
11.Rally Road Racers
12. The Witcher: Nightmare Of The Wolf
13. Resident Evil: Death Island 2023
14. What if...? (From marvel studios)
15. Royal crackers
16. Atom Eve
17. Teenage Mutant Ninja Turtles: Mayhem (HD CAM)
18. Ruby Gilman teenage kraken
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom