Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nimetoka kuimalizia movie mpya ya Gentleman thief ya John Travolta, yupo na kina Quavo na DJ Khaled, na niliianza toka Jana, trailer ilikuwa inavutia, nimejuta balaa movie ni mbaya haina ukhalisia hata nukta,

nimeenda kwenye ratings nimekuta ni 3.3 nikasema nafuu kumbe tupo wengi..!🙌🏾
 
Hapo ndio utagundua kuna utofauti kati ya kuimba na kuigiza. Movie mbovu sana
 
Ulitaka uwalilie wale wahuni walibamizwa na Zoe/Joe?, yan ile ndo dawa ya wasiojulikana..wangekuwa wanakutana na ule moto hata huku Malawi akili zingewkaa sawa 😁
 
Attachments

  • HO0pJGqa0AAreDz.jpg
    HO0pJGqa0AAreDz.jpg
    116.9 KB · Views: 8
Ulitaka uwalilie wale wahuni walibamizwa na Zoe/Joe?, yan ile ndo dawa ya wasiojulikana..wangekuwa wanakutana na ule moto hata huku Malawi akili zingewkaa sawa 😁
😁😁
sikuwaonea huruma washenzi wale, ila honestly nilikuwa natamani ile hekaheka na mkimbizano uendelee, vile napenda violence ya kistaarabu..!🙌🏾
 
Nimetoka kuimalizia movie mpya ya Gentleman thief ya John Travolta, yupo na kina Quavo na DJ Khaled, na niliianza toka Jana, trailer ilikuwa inavutia, nimejuta balaa movie ni mbaya haina ukhalisia hata nukta,

nimeenda kwenye ratings nimekuta ni 3.3 nikasema nafuu kumbe tupo wengi..!🙌🏾
Niliona movie ina wasanii wa kuimba huwa siangalii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom