Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,465
- 14,608
Hii series ni kali hapa rate 9/10 haisifiwi sana sabb sio ya wamarekani ila kama unapenda series za kijasusi, kama umewai kuangalia HOMELAND, THE AMERICANS na ukazipenda basi huu mzigo unacheza humohumo
Season 5 episode 50
Season 5 episode 50

