Series (Special thread)

Series (Special thread)

season 7

images (3).jpeg
 
Nimejuta kuishusha SILO haijanivutia kabisa na wala sijaelewa hii series naona imekaa kishamba sana bora niendelee na MANIFEST yangu
Nakushauri ukishatulia huna mambo mengine ya kufanya, iangalie tena SILO halafu uje kushukuru humu.

Ikiifuta utakua umefanya kosa kubwa sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom