Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,407
- 28,836
Storyline ni nzuri na naona itaendelea..Mimi hata sijajisumbua kuiangalia
Huo u-gay wamekuja kuuweka mwishoni kabisa..!!
Storyline ni nzuri na naona itaendelea..Mimi hata sijajisumbua kuiangalia
Hijack lazima iwe na second seasonHijack ishaisha,toeni basi recommendation nyingine ya kueleweka.
Twisted MetalHijack ishaisha,toeni basi recommendation nyingine ya kueleweka.
Wameminya kwenye dakika. Episode moja ina dakika chachee kama the bees ya Mr. Bean 😁😁Twisted Metal
Naona iko poa sana. Ina Action nyingi na some comedy. Kama unapenda series za Action+ Comedy basi Twisted Metal inaweza kufaa.
Niko episode ya pili, this series is funny 😂😂
Kweli episode zake fupiWameminya kwenye dakika. Episode moja ina dakika chachee kama the bees ya Mr. Bean![]()
Nimemaliza Twisted Metal Season 1Hijack ishaisha,toeni basi recommendation nyingine ya kueleweka.
Poa shukran ngoja niishusheNimemaliza Twisted Metal Season 1
Sasahivi naangalia BLOODHOUNDS
Kwa kweli ninarecommend mkaiangalie hii Bloodhounds
RIPKama uliangalia "Breaking Bad", na "Better Call Saul" huyu mwamba amefariki.
Hector Salamanca ("Breaking Bad")
View attachment 2708755

Unarikomendi series za Kikorea ambazo unaangalia jicho moja kwenye subtitles lingine kwenye picha?!!Nimemaliza Twisted Metal Season 1
Sasahivi naangalia BLOODHOUNDS
Kwa kweli ninarecommend mkaiangalie hii Bloodhounds
Mkuu nimeikubi sana nipo season ya pili dah inahatar sanaKali sana hiyo,Carrie,Brody,Saul na kuna mwamba anaitwa Peter Quin wana balaa
Kumbe ya kikoreaUnarikomendi series za Kikorea ambazo unaangalia jicho moja kwenye subtitles lingine kwenye picha?!!

Unarikomendi series za Kikorea ambazo unaangalia jicho moja kwenye subtitles lingine kwenye picha?!!
Ina dual audio kwa hiyo unaweza kuchagua English au Korean.Unarikomendi series za Kikorea ambazo unaangalia jicho moja kwenye subtitles lingine kwenye picha?!!
Kumbe hupendi series za Kikorea 😐Kumbe ya kikorea![]()
Hata ya 700MB au zaidi, nitashukuru. Hapa nilipo bando sio shida walau kwa sasaUnataka kwa quality ipi? Yenye megabyte chache au ile ya kuanzia 700MB?

Hujaipata tuHata ya 700MB au zaidi, nitashukuru. Hapa nilipo bando sio shida walau kwa sasa![]()
Kaka Kabaila wangu alikuwa kanikaba koo...next week nakomaa nayo asee.Hujaipata tu
Kaka Kabaila wangu alikuwa kanikaba koo...next week nakomaa nayo asee.
Thanks a lot, ngoja niipakue. My weekend will be good now! Barikiwa