Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,221
- 79,739
Kaka the american ni balaa aisee kuna kina nina , elizabeth,philip aloo sio powa kama mtu ana penda ukachero aicheki kwanza imetumika akili mno humuInavyoanza unaweza ukaona wanakupotezea muda,ila ile ndo maana halisi ya ujasusi!
The Americans nayo ina ujasusi wa maana!
