msondomba
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,928
- 2,440
Airtel kuanzia saa 5 usiku - 12 asubui kwa 1500 GB10.Kuna ushauri wowote kuhusu bundle bora la ku download movies. Haswa zile bundle za usiku. Je!? Ni mtandao gani upo cheap na reliable speed.
Airtel kuanzia saa 5 usiku - 12 asubui kwa 1500 GB10.Kuna ushauri wowote kuhusu bundle bora la ku download movies. Haswa zile bundle za usiku. Je!? Ni mtandao gani upo cheap na reliable speed.
Check channel ya telegram hii hapaSijui wengine mkienda telegram mnapataje series ila Mimi naandika kwenye search pale jina la series kwa mfano Tehran kama picha inavyoelezea then unaingia hapo kwenye sehemu niliozungushia kwa rangi nyekundu ukifika humo click izo link utakuta episodes na subtitles zake so nimepata kuanzia episode ya 1 mpaka ya 5 zikiwa zina subtitles za english so hizi 3 zilizobaki ambayo kuanzia ya 6 mpaka ya 8 ndo hazina ila nitajua wapi pa kuzipata ila nikizipata subtitles zake nitashare
Mada ipi iyo..Transgender.....
Jikite kwenye mada
ahsante sana hiyo nitaitafuta(nimeshaiona telegram), kuna series inaitwa mossad 101, je umebahatika kuiangalia?
Insider info maybe SeptemberWakuuu HIV MONEY HEIST SESSION 5 BDO TU KUTOKA NA INATARAJIA KUTOKA LIN?
Tarajia august 22Wakuuu HIV MONEY HEIST SESSION 5 BDO TU KUTOKA NA INATARAJIA KUTOKA LIN?
Ni fire iyo kituHivi Breaking Bad imeandikwa vizuri kiasi hiko !?maana naona wanautoleaga mfano sana kwenye series amazing storyline & scripts
Homeland imefakisha kinoma sijui nani huyo aliniponza mpaka nikai download kwa kuniambia inafanana na 24Mhhh! Kuna watu wa aina 3 bro wanaotizama movies au series:
1:Kuna wale ambayo wanaangalia series na movies zote kwa kuangalia story ya iyo movies au series.
2:Kuna wale wameangalia series ambayo wao wanaiona bora then wanaziponda series zingine kwa kuziona mbaya kwasababu anaamini series yake bora aliyoiona ni kali kuliko zingine.
3:Kuna wale wafata matukio kwenye series au movies hasa hasa ngumi, mapanga au kukimbizana kama series haina scenes izo basi utasikia imepoa.
So wewe angalia genres ya homeland then angalia series inayofanana na izo, angalia trailers na omba ushauri humu au hata washkaji zako watakwambia ipoje maana hata iyo homeland humu ndani watu wameiponda kichizi
Hii ndio the top ilifuata lupinKuna hii hapa pia ya CIA
View attachment 1762592Cypher 2020 S01 COMPLETE 720p NF WEBRip x264 Torrent Download - LimeTorrentx.cc
Download Cypher 2020 S01 COMPLETE 720p NF WEBRip x264 torrent for free, Downloads via Magnet Link or FREE Movies online to Watch in LimeTorrentx.cc Hash: 94AA907F034CDAA57FCAD9BEB4982A1C5658DBD9www.limetorrentx.cc
Homeland imefakisha kinoma sijui nani huyo aliniponza mpaka nikai download kwa kuniambia inafanana na 24
Dem malaya napigwa mashine hadi na vototo afu eti jathusi na ndo starring, kifo cha broddy kilikua kama maigizo ndani ya igizo kumbe ndio ukweli kafa mazima na haonekani tena mpaka series inaisha
Shukrani mkuualiyesajest Tehran abarikiwe sana
Ukiangalia series kwa kuilinganisha na nyingine hutoangalia series mzee maana zina story tofauti na nina imani huyo jamaa alikwambia uangalie coz zote zinadeal na ujasusi na kuhusu demu kugongwa iyo ni kawaida maana ni jasusi na anajenga uhusiano wa kimwili kupata infoz au mambo mengine yaendelee....Tuseme hujaipenda iyo series ila ni nzuri mzeeHomeland imefakisha kinoma sijui nani huyo aliniponza mpaka nikai download kwa kuniambia inafanana na 24
Dem malaya napigwa mashine hadi na vototo afu eti jathusi na ndo starring, kifo cha broddy kilikua kama maigizo ndani ya igizo kumbe ndio ukweli kafa mazima na haonekani tena mpaka series inaisha
Airtel kwenye simu hua ina crash sana, kuna siku niliweka night pack enzi zile lilikua linaanzia saa 5. Nikafungua torrent na ku resume downloads kisha nikaiacha mi nikalala zangu, ile naamka asubuhi kucheki nakuta iko vile vile.hao ttcl au airtel ukipata simu ya 4G utawapenda kasi nzuri. Japo sijajaribu kasi 4G ya ttcl.
ila ninge akina popo hawalali mpaka mzigo wote ufike. kumbe huwa unategesha kisha unalala hapo ndipo hasara inapotokea maana halotel wana katabia ka kuzima data kwa sekunde kadhaa
Homeland ni nzuri ila siiweki katika viwango vya series bora za muda wote. Kama tunai categorize kwa kufuata good better and best, basi homeland ni goodUkiangalia series kwa kuilinganisha na nyingine hutoangalia series mzee maana zina story tofauti na nina imani huyo jamaa alikwambia uangalie coz zote zinadeal na ujasusi na kuhusu demu kugongwa iyo ni kawaida maana ni jasusi na anajenga uhusiano wa kimwili kupata infoz au mambo mengine yaendelee....Tuseme hujaipenda iyo series ila ni nzuri mzee
Haya ni mawazo yako man na ni series ulizozipenda so sikupingi kwa ilo maana naheshimu maoni ya mtu na sio kila maoni yana mashiko ukitaka kujua ilo wewe nenda kagoogle alafu uje unipe list za best tv shows of all time ndio utajua upo wrong kinomaHomeland ni nzuri ila siiweki katika viwango vya series bora za muda wote. Kama tunai categorize kwa kufuata good better and best, basi homeland ni good
nikiwa namaanisha kua cypher, 24, lupin nk are the best