Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 769
Duuh! Unapinga idadi ya viewers kwa kufananisha na video za YouTube embu toa nfano wa series maana huwezi ukapata viewers wakae kunazia season 1 mpaka 8 alafu unacompare na video ya dks 3 au lisaa kweli una point au unabishana tu?.Umezungumzia kuhusu wingi wa views kua ni indication ya kuonesha kitu hicho ni bora na kizuri nimekupinga kua hata kitu kikiwa kibaya hakiwezi kosa watazamaji. Kumbuka kuna watu wataiangalia ili wahakikishe kua huo ubaya wake uko wapi na ndio maana nikakupa mfano wa video ya baby shark huko youtube. Kwa bahati mbaya hakuna source kamili ya kujua views kwenye series
Kusema sababu fulani ni ya kijinga kwasababu haija match na mtazamo wako sidhani kama ni hoja ya kibusara. Linapokuja swala la ubora wa series kila mtu anakipimo chake, mimi nimepima nimeona homeland haija qualify kuwekwa mzani mmoja na 24 na sijamlazimisha mwingine aone hivyo ila akiniambia mtu nimshauri sitamshauri aiangalie
Ni hoja ya mashiko kusema ni kawaida demu kugongwa na hadi vitoto kwasababu huko urusi wanafundisha michezo hiyo? kwa maana hiyo hata ushoga kwako ni fair ikiwa kuna nchi fulani inaruhusu ushoga?
Makosa uliyoyahesabu wewe kwenye 24 kuhusu plate numbers ni commonly karibia kila series/movie yapo hata hiyo homeland kuna makosa mengi kama hayo lakini sijayaona kua ni sababu ya mimi kutoipenda
1. Mfano broddy aliswali swala ya namaz asubuhi na wakati jua limechomoza
2. Asal hamid ambaye alikua mlinzi wa brody kipindi ametekwa ambaye alidaiwa kua ni gaidi wa syria. Ambapo syria lugha ya taifa ni kiarabu, neno Afsal linatamkika "Afzal" huku herufi "Z" ikitamkwa kwa high pressure. Lakini kwenye lugha ya kiasili ya kiarabu cha syria hakunaga matumizi ya "Z" kwa hiyo jina sahihi lilitakiwa kuwa "Afdal" na "D" ikisikika zaidi katika utamkwaji. Neno "Afsal" kutamkika kama "Afzal" mara nyingi hutumika kwenye lugha ya "Farsi" ambayo ni lugha ya taifa ya iran
Na kuhusu hakuna sehemu maalum ya kuangalia viewers mpaka nimeona wewe bado sana kwenye ulimwengu wa series omba usaidiwe 😂😂😂
Demu anagongwa na mpaka vitoto....niambie mtoto anaanzia na umri gani? Na unionyeshe kwenye iyo series uyo Carrie Mathison kagongwa na mtoto gani humo? Alafu sijui kufundisha michezo ya ushoga imekujaje hapa na pia kuhusu mashushu kufundishwa kuwalaghai iko ni kitu cha kawaida hata mashushushu wa kike wa kiafrica sio urusi tu anatumwa kuchukua infoz au uchunguzi kwenye eneo fulani anachukua uhusika wa hadi changudoa Bro alafu unasema unaangalia series za kijasusi alafu hujui kuhusu hili 😂😂😂 we bado sana.
Makosa ya same plate numbers kutumika kila la gari ni kosa la kawaida kweli kwa wazungu? Ingekuwa bongo sawa ila uliogoogle hayo makosa ya homeland ni kawaida la kwanza hata mchina hawezi kuongea maneno ya Kiingereza kwa ufasaha atachapia tu na angalia watu wa Mara wanaweka r kwenye l so ni common kabisa ila PLATE numbers ni aibu kubwa kwa mzungu ni hilo nimekuwekea ni mfano hakuna series ambayo ipo perfect Kuna hadi swala la mda kwenye 24 wamezingua sio sahihi niliandika yote nyuma huko.
Embu ngoja niishie hapa maana nabishana na mtu anaangalia series za kijasusi na upepelezi alafu anashangaa shushushu eti kugongwa akiwa anafanya upepelezi 🤣🤣🤣🤣 unalinganisha na utamaduni wakati kila nchi duniani ipo ivo I wish ukae na hata na mashushushu wa kike hapa Tanzania upate shule kidogo.
Siku njema bro

