Series (Special thread)

"Captain Sobel, we salute the rank, not the man" Major Dick Winters.

Nimetoka kumaliza TV Series ya Band of Brothers, ni series inayohusu story ya kombania E kutoka katika kikosi cha askari wa miamvuli (paratroopers) katika jeshi la Marekani namna walivyoshiriki katika vita vya pili vya dunia, narudia tena kusema ni bonge moja ya kitu, kama haujaitazama itafute.
 
Unafungua episode ya kwanza while ina play unaclick 3dots juu ya player,unakuta option ya subtitle Kama inavyoonekana kwenye picha ya kwanza

Ukisha bonyeza subtitle zitakuja option nyingi, utaclick "online subtitle" Kama picha namba mbili inavyoonesha


Hakikisha kila episode inakua na hiyo title ya series mfano angalia picha ya tatu ndiyo utaweza pata subtitles zake online, then unatick kibox cha "enter your search text"



Ikisearch vizuri utapata popup window ya file la subtitle according to such episode then utaclick kibox utaona kwa chini upande wa kulia utaclick download then ikimaliza itaandika successful download then endelea kuwatch na english subtitle : rejea picha ya nne


View attachment 1591320View attachment 1591325View attachment 1591335View attachment 1591348
Je unakuwa online au watakt unachek ambazo umezishusha tayr
 
Kama ni comedy mimi sikomi kuitazama na kuirudia tena na tena TV series ya SHAMELESS Season 1-10 na sasa naisubiria season (11) ya mwisho ambayo ipo kwenye maandalizi soon itaachiwa hewani, japo kuna promotion kubwa ya maubwabwa na usagaji inafanyika humo lakini nimeipenda sana hii kitu. View attachment 1595546
Dah! Bonge la series aisee na uyo mzee humo kacheza Sana nilikuwa napenda harakatii zake za kutafuta hela ili apige mtungi 😆😆😆
Nimeangalia mwanzo mwisho hii series.
 
Mkuuu vip money heist na dark ipi kali maaana nataka kuanza moja wapo
Story mbili tofauti mzee so anza uitakayo ingekuwa inahusu kitu kimoja ningekwambia ipi ni nzuri ila zipo tofauti cha kukushauri kama wewe ni fuata mkumbo wa kuangalia series zenye actions tu na sio kuelewa series kwa umakini basi achana na Dark coz inahitaji umakini mkubwa
 
Baharia, nisaidie link! Jamaa katupia za kiarabu! Nimesearch English subtitles nimekosa!
Sijui wengine mkienda telegram mnapataje series ila Mimi naandika kwenye search pale jina la series kwa mfano Tehran kama picha inavyoelezea then unaingia hapo kwenye sehemu niliozungushia kwa rangi nyekundu ukifika humo click izo link utakuta episodes na subtitles zake so nimepata kuanzia episode ya 1 mpaka ya 5 zikiwa zina subtitles za english so hizi 3 zilizobaki ambayo kuanzia ya 6 mpaka ya 8 ndo hazina ila nitajua wapi pa kuzipata ila nikizipata subtitles zake nitashare
 

Attachments

  • Screenshot_20201014-064227.png
    Screenshot_20201014-064227.png
    69.6 KB · Views: 9
Mie nimeangalia kidogo....nimecheka pale yale madogo yalikuwa yanaenda kwao binti yanazuga kusoma.....kumbe binti anayanyonya mb***. Dingi alipostuka.....msalaa....dah
Dah! Bonge la series aisee na uyo mzee humo kacheza Sana nilikuwa napenda harakatii zake za kutafuta hela ili apige mtungi
Nimeangalia mwanzo mwisho hii series.
 
Katisha Sana mzee alafu Kuna muda familia inaunganika kwa pamoja hata kama Kuna mabeef ya wenyewe kwa wenyewe kutetea jambo fulani la familia yao ya Gallagher na ni moja ya series unique ya kimarekani inazungumzia life ya hao weupe kusini mwa chicago lakini hadi kwetu maisha hayo yapo asa familia za uswazi baba cha pombe na mama haeleweki na watoto mnajikuza wenyewe..... Ngoja tusubirie season ya 11 ambayo ni ya mwisho
Bonge ya TV show aisee. Naipenda sana...
 
Nani anaangalia NEXT???

Mambo ya computer,hacking na rise of AIs? ( Artificial Intel) gone rogue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom