Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mosad 101 mbaya haieleweki visa vyake havivutii
Kwanza ni series ya genre yako pendwa?
maana inashangaza kama ulishindwa kuelewa kua kulikua na visa vya mafunzoni na visa vya ukweli...baada ya mossad agent kuiba mamilioni ya pesa na kujizushia kifo huku mkewe akizuga anatafuta chanzo cha kifo cha mumewe,pesa ambazo ziliwafanya wauliwe na mossad agent mwenzao ambae alikua anatekeleza agizo la wakubwa wake ambapo harari anafight kujua chain nzima inavyoenda mpaka season 2 imeisha jamaa ndo ameanza kuingia kwenye kundi la ISIS kama undercover!
Inashangaza ila ndoivyo hatuwezi kupenda kitu moja watu wote!
 
kumbe huu mzigo ulishaendelea tokea machi
MV5BZWQwNzVlNDYtNGZjNC00YmNmLThlMDAtZmVkNjIyOTIwNzEyXkEyXkFqcGdeQXVyMTA4Njc0MTM5._V1_UY1200_CR...jpg
 
Haya ni mawazo yako man na ni series ulizozipenda so sikupingi kwa ilo maana naheshimu maoni ya mtu na sio kila maoni yana mashiko ukitaka kujua ilo wewe nenda kagoogle alafu uje unipe list za best tv shows of all time ndio utajua upo wrong kinoma
Mkuu ubora wa series ni interesting ya mtu na sio wingi wa rates kua ndio kipimo japo siwezi kupingana na statistics kama hizo kwa maana wanaozipa rate ni waangaliaji na mashabiki kama mimi na wewe.

Mimi nilipewa recommandation ya homeland kua ni nzuri kwa kupewa comparison na 24. Kwa mtu aliyeangalia 24 ukimuinesha homeland ni ngumu kumshawishi kua zinafanana

Ni kweli kuna shows ambazo zina high rates na ni bora lakini haimaanishi kila series zenye top rated ni bora kwa kila mtu. Kuna mwana hapo juu kagusia kua kuna shows zakibabe ambazo ni kali ila hazina promo kama hizi za hollwood
 
Kwanza ni series ya genre yako pendwa?
maana inashangaza kama ulishindwa kuelewa kua kulikua na visa vya mafunzoni na visa vya ukweli...baada ya mossad agent kuiba mamilioni ya pesa na kujizushia kifo huku mkewe akizuga anatafuta chanzo cha kifo cha mumewe,pesa ambazo ziliwafanya wauliwe na mossad agent mwenzao ambae alikua anatekeleza agizo la wakubwa wake ambapo harari anafight kujua chain nzima inavyoenda mpaka season 2 imeisha jamaa ndo ameanza kuingia kwenye kundi la ISIS kama undercover!
Inashangaza ila ndoivyo hatuwezi kupenda kitu moja watu wote!
Point nzuri hii HATUWEZI KUPENDA KITU KIMOJA WATU WOTE
 
Mkuu ubora wa series ni interesting ya mtu na sio wingi wa rates kua ndio kipimo japo siwezi kupingana na statistics kama hizo kwa maana wanaozipa rate ni waangaliaji na mashabiki kama mimi na wewe.

Mimi nilipewa recommandation ya homeland kua ni nzuri kwa kupewa comparison na 24. Kwa mtu aliyeangalia 24 ukimuinesha homeland ni ngumu kumshawishi kua zinafanana

Ni kweli kuna shows ambazo zina high rates na ni bora lakini haimaanishi kila series zenye top rated ni bora kwa kila mtu. Kuna mwana hapo juu kagusia kua kuna shows zakibabe ambazo ni kali ila hazina promo kama hizi za hollwood
Unarudia point yangu ile ile ya juu kwamba hayo ni maoni yako sio ya kila mtu maana ingekuwa imepondwa na ina viewers wachache wangeicancel kama series ya Tyrant na sio kufika mpaka season 8 na kuwa na CV iyo hapo chini.

Umeitaja Lupin mimi nimeiangalia na ni nzuri ila kuna watu wameangalia episodes hazifiki 5 wameiponda kwamba haipo kwenye uhalisia wa maisha ya kawaida kwamba huwezi ukamuibia mtu kizembe ivo bali ni upikwaji wa series tu ule ila wewe umeiweka kwenye better series.
Ukitaka kuangalia series fata story ndio utaenjoy ila sio kucompare maana story ni tofauti ni sawasawa na mpenzi wako wewe ndio unamuona mzuri ila wengine wanakuponda tena wanasema demu gani au sijui jamaa kapendea nini?
Na series hawaangalii imepewa rate ya ngapi kuitwa series bora bali vitu vingi pamoja na viewers

Screenshot_20210523-224306.png
 
View attachment 1795633
Na hakuna sehemu nimedai kua hayo ni mawazo yanayowakilisha watu wote, na ndio maana uko hapa unanipinga.

Lakini hata hoja ya viewers nayo naiweka kando kua sio kipimo cha kuifanya video/movies/series iwe bora. Kuna video ya vitoto vinadimba dimba iko youtube imegonga views bilion 8 na ndio inayoongoza kidunia lakini haimaanishi wimbo huo ni bora kuliko nyimbo zoote za youtube.

Na pia sidhani kama ni sahihi kuniringanisha na mtu huyo anayefanya relation ya kila anachokiona kwenye movies anataka kifanane hivyo hivyo kihalisia na maisha halisi ya mtaani, kama ndo hivyo basi kila series itakua ya hovyo endapo kuna point ya kihalisa kutoka mtaani itakua imepindishwa kwenye scene
 
Bro tunazungumzia series wewe unaleta mifano ya video za YouTube 😀😀 ambazo ukitafuta kiki tu unapata viewers kibao lakini sio series kama mbaya ni hasara kwa watengenezaji ambao wametumia hela irudi sasa bila viewers hakuna series hapo na series imetengenezwa kwa ajili ya viewers So huwezi pata viewers kama story mbaya.
Pia embu soma vizuri comment yangu sijakulinganisha na huyo jamaa bali nimetoa nfano mtu asipopenda kitu anatoa sababu zozote tu hata za kijinga ili tu aiponde hadi mtu mwingine anaengalia anakushangaa ndio kama wewe sababu ulizotoa wewe hazina mashiko eti shushushu anagongwa iyo ndio hoja gani wakati urusi ni Somo ilo kwa mashushushu wa kike wanafundishwa hadi kuwalaghai wanaume kingono na wana kikosi special unatakiwa utoe hoja yenye mashiko kama 24 wameiponda Kuna plate numbers za magari zinajirudia kwenye magari tofauti hii ndio point ya msingi mzee

kama hutoelewa hadi hapo basi tupotezee tu
 
Umezungumzia kuhusu wingi wa views kua ni indication ya kuonesha kitu hicho ni bora na kizuri nimekupinga kua hata kitu kikiwa kibaya hakiwezi kosa watazamaji. Kumbuka kuna watu wataiangalia ili wahakikishe kua huo ubaya wake uko wapi na ndio maana nikakupa mfano wa video ya baby shark huko youtube. Kwa bahati mbaya hakuna source kamili ya kujua views kwenye series

Kusema sababu fulani ni ya kijinga kwasababu haija match na mtazamo wako sidhani kama ni hoja ya kibusara. Linapokuja swala la ubora wa series kila mtu anakipimo chake, mimi nimepima nimeona homeland haija qualify kuwekwa mzani mmoja na 24 na sijamlazimisha mwingine aone hivyo ila akiniambia mtu nimshauri sitamshauri aiangalie

Ni hoja ya mashiko kusema ni kawaida demu kugongwa na hadi vitoto kwasababu huko urusi wanafundisha michezo hiyo? kwa maana hiyo hata ushoga kwako ni fair ikiwa kuna nchi fulani inaruhusu ushoga?

Makosa uliyoyahesabu wewe kwenye 24 kuhusu plate numbers ni commonly karibia kila series/movie yapo hata hiyo homeland kuna makosa mengi kama hayo lakini sijayaona kua ni sababu ya mimi kutoipenda

1. Mfano broddy aliswali swala ya namaz asubuhi na wakati jua limechomoza

2. Asal hamid ambaye alikua mlinzi wa brody kipindi ametekwa ambaye alidaiwa kua ni gaidi wa syria. Ambapo syria lugha ya taifa ni kiarabu, neno Afsal linatamkika "Afzal" huku herufi "Z" ikitamkwa kwa high pressure. Lakini kwenye lugha ya kiasili ya kiarabu cha syria hakunaga matumizi ya "Z" kwa hiyo jina sahihi lilitakiwa kuwa "Afdal" na "D" ikisikika zaidi katika utamkwaji. Neno "Afsal" kutamkika kama "Afzal" mara nyingi hutumika kwenye lugha ya "Farsi" ambayo ni lugha ya taifa ya iran
 
Jamani kwa yeyote anayfahamu majina ya chanel za telegram za series na movie mpya anisaide majina nitafute tafadhali!!
TV Series 101
Channel Disclaimer: All The Content in this Channel is Either forwarded From Other Channels Or Taken From the Internet, we Don't Own Any Content.

No copyright infringement intended

We are not liable for any loss from ads.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom