🤣🤣🤣Hakuna asiye penda series sisi wote tunapenda ila aina ya series unazocheki hapo ndo kipengele mura.
🤣🤣🤣Hakuna asiye penda series sisi wote tunapenda ila aina ya series unazocheki hapo ndo kipengele mura.
STARZ wanapotea kwenye soko la TV showsMimi mwenyewe ilinishinda nikabidi niwe napeleka mbele ili nione labda huko iko Bomba ila wapi naona mauzauza tu
Kama umekosa kitu Cha kuangalia sio mbaya Sana Ila yakawaida Sana hata ukienda kwenye rate utaona hiloAlie tazama hii alete mrejesho kabla sijafanya maamuzi ya kihehe
Kuna moja inaitwa Those about to die ni Kali ile mbaya nikafikiri hiyo Ashur itakuwa ina vibe Kama hii lakini wapiSTARZ wanapotea kwenye soko la TV shows
Mwamba alikuwa akiniambia ni kali ujua kweli hatarJamani na Vincenzo Jr sijui kapata tender wapi, sio kwa ubizy huu jamani nammiss sana!
Kabisaa! Hakwepeshi..Mwamba alikuwa akiniambia ni kali ujua kweli hatar
Alikuwa anakuambia lini na umejiunga mwezi janaMwamba alikuwa akiniambia ni kali ujua kweli hatar
Haha pole kwa kujua nimejiunga mwezi janaAlikuwa anakuambia lini na umejiunga mwezi jana
✍️✍️✍️✍️
Hawa ndo wakuu wa double double IDAlikuwa anakuambia lini na umejiunga mwezi jana
✍️✍️✍️✍️
Succession ipi unaongelea mbona tumeshazungumza Sana kuhusu hiliAlie check SUCCESSION naomba kujua maaana nataka kuishusha kwa alie cheki