Series (Special thread)

Series (Special thread)

hizi project kwa sasa hazinifai kwa sababu ya ukubwa wa files zake, kila moja inabeba wastani wa gb 4.5 (halotel wamekata moto), ngoja imalize ramadhani nizifanyie assignment ya kibabe (inshaalllah)
Nilitegemea nitazikuta telegram ili nishushe episode moja moja bahati mbaya sana sijafanikiwa kupata channel zake.

nimeangalia deep state season 1(season 2 naiweka pending), imenifanya niione dunia kama ni sehemu moja ya kipumbavu sana kuishi. sidhani kama hii dhana ya ugaidi,upandikizaji wa magonjwa na wizi wa rasilimali dhidi ya mataifa madogo ni jambo la kupita, haya ni mapambano ambayo hatopatika mshindi kwa sababu waanzilishi wa haya mapambano yanawafaidisha.
"anayetangaza mkakati wa kulinda amani ndiye kinara wa kuvunja amani"
============
naomba list nyengine ya series zenye mdundo wa kibabe,biashara za madawa ya kulevya, ujasusi (CIA, FBI, MOSSAD, M16), vita vya kutengeneza (ugaidi) ukiondoa,
  1. peaky blinders​
  2. gangs of london​
  3. jack ryan​
  4. the blacklist​
  5. cypher​
  6. berlin station​
  7. the bureau​
  8. messiah​
Ukizungumzia kuhusu mossad basi Tehran ni nzuri na episodes zipo chache
 
Nasikia huu mzigo ni
20210503_103319.jpg
 
Hahaha dah, ilinikata sana stimu, bonge moja show, hope itarudi tena season 2....Apple naona nao wanakuja na vitu vizuri, wamejipanga sana hawa jamaa
Yeah wapo vizuri sana alafu mzee weekend hii nilikuwa naicheck Suburra season 1 kuhusu scenes za kusex sio nyingi kiivo kama Game of thrones, Banshee, Black sails, True blood, Bitten na Spartacus hizo ndio series zina scenes nyingi za kusex na wala sex za mashoga sijaona mpaka sasa angalau shoga lipo na ni series nzuri kwenye mambo ya wauza unga, wafanyabiashara, priests wa rome kugombania ardhi
 
Poa poa mzee, ngoja niishushe niitizame sasa
 
ahsante sana hiyo nitaitafuta(nimeshaiona telegram), kuna series inaitwa mossad 101, je umebahatika kuiangalia?
Mossad 101 inahusu namna Mossad wanavyopata agents wao,training kiujumla.season ya kwanza kama imepoa hivi ila season ya pili inachanganya vizuri baada ya wale trainees kupewa real mission na baadhi ya high ranking officers kupiga pesa,kushirikiana na makundi kama ISIS bila ya waliopo chini kujua.
 
Hii series ni kali sana aisee, nmeianza jana baada ya kufuturu,nmeenda nayo hadi muda wa daku...najiuliza sijui kwanini waliweka episodes chache vile dah...ujasusi wa humu ndani sio wa mchezo
#Tehran series
naomba uniwekee folder lenye subtitle ya hii series kama unalo, hii ya kwangu ipo nyuma kwa takribani dakika moja.
full mizunguo.
=============
 
#Tehran series
naomba uniwekee folder lenye subtitle ya hii series kama unalo, hii ya kwangu ipo nyuma kwa takribani dakika moja.
full mizunguo.
=============
Mimi nilitumia opensubtitles, nilikuwa nadownload subtitle kwa episode moja moja

Mfano wa link hiyo hapo chini, hiyo ni subtitle ya episode 1

Similar Discussions

Back
Top Bottom