Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,109
- 1,249,102
Kama ttcl inashika vizuri huko unga tu hio kwa simu ya mdogo wako maana airtel watakupa hasara nyingine japo ttcl gb 10 ni 2500 sijui kama weshashusha bei. Halotel wametukomoa wengi.
wakati huo nilikuwa nje ya mji kimasomo (zanzibar tunaita shamba), network ilikuwa inapanda 3g lakini ilikuwa ni uhakika kwa muda wote. acha nicheze tena kamari japo kwa mara ya mwisho pengine bahati itakuwa upande wangu
TTCL inekataa kusoma kwenye modem, nimefikiria kumuazima mdogo wangu simu ili nipate huduma yao ya usiku
Halotel internet yao ni uhakika, bahati mbaya sana wametukatia mrija wa furaha

