Series (Special thread)

Kuna hii hapa pia ya CIA

View attachment 1762592
Hahaha aise baba hii ni balaa na nusu ..huu mzigo sio wa nchi hii aise ..Kama Kuna ambaye ajacheki hii series atakuwa amezingua kinoma. Hahahaha
 
Hahaha aise baba hii ni balaa na nusu ..huu mzigo sio wa nchi hii aise ..Kama Kuna ambaye ajacheki hii series atakuwa amezingua kinoma. Hahahaha
Series ikiwa na season moja tu naona ivivu snaa kuichek, napendaga series kali na ambayo ina season kuanzia 3 kwenda juu. Hii ina season moja tu na hujui season two itatoka lin
 
basi kuwa mvumilivu, kwa mujibu wa huyu bwana Nigendako anasema season 2 ndio inaanza kuchangamka
Series nzuri sana hii, i wish wasinge icancel

mwezi uliopita nilikuwa sehemu moja flan hivi, nikakutana na mdada mmoja anadai kuwa alikuwa ni mmoja wa cast wa hiyo Berlin Station, hasa season ya tatu... Nilimkomalia aniambie jina alilotumia akadaia hata akinitajia siwezi mfahamu... Mdada mmoja half caste wa kibongo
 
Kama kuna sex za kawaida naitizama, ila kama imejaa ushoga,ntaiweka pembeni,

Kuna moja ni nzuri, nilikuwa naitizama Who Killed Sara?ina story nzuri sana, tatzo imejaa ushoga hatari, nmeipiga chini
Za kawaida huwa zinavumilika ila hii utadhani unaangalia porn, bisexual na homosexual utakutana navyo pia.

Series nyingi siku hizi huwa hazikosi ushoga ila vikizidi hata mimi huwa naachana nayo.

Go for it unaweza kuipenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom