Baharia mweuc
JF-Expert Member
- Sep 13, 2019
- 654
- 769
Pa1 mkuuAsantee mkuu kwa uchambuzi murua nilikuwa na ipuuza hii ngoma ngoja nitafute 👍
Pa1 mkuuAsantee mkuu kwa uchambuzi murua nilikuwa na ipuuza hii ngoma ngoja nitafute 👍
Yeah! Mzee wanaendana balaa kwenye kufikiri na kujua mipango kasoro tu Huyu Franklin Ni choka mbaya yaani hamna wa kisure kwenye familia yake Ila Joshua yeye bibi yake na ndugu walikuwa na mpungaSasa akili za Franklin nazifananisha na za huyu dogo wa kwenye Animal Kingdom, yule Joshua J Cody
Sema tuko tofauti nakumbuka teen wolf nilikuwa chuo aisee ni moja ya series ambayo ni mpera pera mwanzo mwisho na mastaa wa mule wote wamepata kazi sehemu nyingine fasta kuliko hata actors wa Game of thrones na kusema the 100 mbaya napo nakupinga coz Ni bonge la dude na watu tunasubiri season ya mwisho yaelekea hupendi TV shows za kuumiza kichwa mzee ndo maana unaona mbaya.Blindspot na Teen wolf hizii nishaachaga kufatiliaaa...The 100 ikafataa maana naona hazieleweki ni Utopolo tuu movie mtu anarudisha kumbukumbu mara zinapoteee mara zinarudii...
![]()
Kweli kabsa mzeeYeah! Mzee wanaendana balaa kwenye kufikiri na kujua mipango kasoro tu Huyu Franklin Ni choka mbaya yaani hamna wa kisure kwenye familia yake Ila Joshua yeye bibi yake na ndugu walikuwa na mpunga
Yaah! Upo sahihi kabisa mkuu.. Yani visa vyake ni continuous, bandika bandua. Hakuna kupoa kabisa!Ukiachana na watoto wazuri aisee hii series ina story moja unique Sana yaani iyo iyo Riverdale ni kama kusema mbwinde ya marekani Kuna drama balaa yaani Kuna mda unabaki mdomo wazi kutokana na mwanzo unaona series imekaa kitoto Sana lkni unabaki unaumiza kichwa mzee kujua mwisho wake upoje, mim nimeangalia hadi season ya 3 Ila ya 4 nimeishusha bado sijaiona nimeweka pending
hii series pamoja na kuwa na rate nzuri IMDb, haikunivutia kwa kweli.Ianze kwa roho nyeupe ni nzuri sana, nimeimaliza last wkKuna mtu ameiangalia hii?nataka niianzeView attachment 1524637


Ni bonge la seriesJamani kabla sijaishusha naombeni ushauri wenu Dark iko vizuri au niipotezee?
Thepiratesbay umeikosa?nataka series ya kunta kinte ntaipata kwenye website gan ya torrent
Shukrani mkuu, ngoja niishushe kwanzaIanze kwa roho nyeupe ni nzuri sana, nimeimaliza last wk
Bhasi siiangalii tenaa kumbe na Matheory tupu yamejaa humoo...!!Ni bonge la series
Humo kuna mambo ya time traveling ...
Ni kali ila inahitaji utulie ndio utaelewa ukiweweseka tuu hutoelewa
Kun time dimension tatu kuna mda character wako zaidi ya mara 3 at once
Kuna past ,present na future ...kuna overlaped time dimension
Kuna forbided dimension ....
Nakushauri icheki kama uko interested na aina hyo ya series otherwise ....achana na nayo binafsi nairate 7/10
Yeah! Mzee story yake humo wameshindwa kuipangalia vzri cz una hamu ya kumjua uyo Gangstar lakini story yao ya kawaida niliicheck episode 1 sikuangalia nyingine Ila naivutia muda mzeeYaah! Upo sahihi kabisa mkuu.. Yani visa vyake ni continuous, bandika bandua. Hakuna kupoa kabisa!
Halafu kwa haraka haraka hapo kwenye ubao wako nimekutana na Godfather of Harlem..
hii series pamoja na kuwa na rate nzuri IMDb, haikunivutia kwa kweli.
Hiyo season ya 1 nimeicheki naona imeishaisha tu juu juu hata sijui imeishaje.
Hata hivyo nilipenda characters za kina Bumpy Johnson, Malcolm X na kuna yule kijana mmoja Black (nimemsahau jina) aliyekuwa akijihusisha na sexual affairs na demu wa kizungu, Sara.
Battle zilikuwa nyingi za kihuni ila ndio hivyo visa vyake havikunivutia sana.
Hii nilijisemea moyoni hata wakiachia season 2 sijihangaishi tena kuishusha! Pale walipoishia nami ndo nimemaliza.
Godfather of Harlem...nimeitizama yote, ni series nzuri,kuna muda imepoa sana, nafikiri ni kutokana na kuifanya iwe na madhari ya miaka ya nyuma sana ndio maana imechangia...Yaah! Upo sahihi kabisa mkuu.. Yani visa vyake ni continuous, bandika bandua. Hakuna kupoa kabisa!
Halafu kwa haraka haraka hapo kwenye ubao wako nimekutana na Godfather of Harlem..
hii series pamoja na kuwa na rate nzuri IMDb, haikunivutia kwa kweli.
Hiyo season ya 1 nimeicheki naona imeishaisha tu juu juu hata sijui imeishaje.
Hata hivyo nilipenda characters za kina Bumpy Johnson, Malcolm X na kuna yule kijana mmoja Black (nimemsahau jina) aliyekuwa akijihusisha na sexual affairs na demu wa kizungu, Sara.
Battle zilikuwa nyingi za kihuni ila ndio hivyo visa vyake havikunivutia sana.
Hii nilijisemea moyoni hata wakiachia season 2 sijihangaishi tena kuishusha! Pale walipoishia nami ndo nimemaliza.
Wapenzi wa money heist,, Netflix wamesema season ya 5 ndiyo ya mwisho, View attachment 1523132
AhWakuu Kuna Hii Kitu mpya Inaitwa Baghdad central 2020 ni hatari saana now Iko Season 1 View attachment 1527865
Sent using Jamii Forums mobile app

yule demu wa Condor, Leem Lubany yupo humu kumbe? Namuona na mchizi wa kati kati hapo alikuwepo kwenye series ya The Strain..sio mathiory mzee ni concept ya time travellingBhasi siiangalii tenaa kumbe na Matheory tupu yamejaa humoo...!!
Ishushe mkuu... Iko vizuriSnowfall wakuu vipi ni potezee Gb zangu au niachane nayo??