Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,785
- 28,806
Tafuta inaitwa Deep stateShukrani mkuu.. Naomba majina ya zingine kali zenye themes kama hii pamoja na ile ya home land,,
In short show flani hivi za m Amerka vs mwarabu
Tafuta inaitwa Deep stateShukrani mkuu.. Naomba majina ya zingine kali zenye themes kama hii pamoja na ile ya home land,,
In short show flani hivi za m Amerka vs mwarabu
Shukrani mkuuTafuta inaitwa Deep state
Naitafuta sana ila nashindwa kuzipata seasons zote nisaidie aiseJack Bauer : " Of course I have regrets, Senator. I regret losing my family. My wife was murdered because I was responsible for protecting David Palmer during an assassination attempt. My daughter can't even look at me. Every day I regret looking into the eyes of men, women and children knowing that any moment their lives might be deemed expendable in an effort to protect the greater good. I regret every decision or mistake that I might have made which resulted in the loss of a single innocent life. But do you know what I regret the most? Is that this world needs people like me...."
Huyu mwambA siwezi msahau kamwe....
Jack Bauer : " Of course I have regrets, Senator. I regret losing my family. My wife was murdered because I was responsible for protecting David Palmer during an assassination attempt. My daughter can't even look at me. Every day I regret looking into the eyes of men, women and children knowing that any moment their lives might be deemed expendable in an effort to protect the greater good. I regret every decision or mistake that I might have made which resulted in the loss of a single innocent life. But do you know what I regret the most? Is that this world needs people like me...."
Huyu mwambA siwezi msahau kamwe....
Naitafuta sana ila nashindwa kuzipata seasons zote nisaidie aise
24 ni moja ya kaz nzuri sana.....bauer aliitendea haki sana
Ile ya kwanza uliipata kupitia palepale torrent bro?the bureau season 2 nitaipata wapi?
nahitaji kuwa undercover uchwara, nimejiona kiakili sijamfikia na sitomfikia reddington
ningendako
Baharia mweuc
Jack Bauer ana mzigo mwingine upo ongoing sasa hv, na tayal wameshatoa ep 11...unaitwa The FugitiveJack Bauer : " Of course I have regrets, Senator. I regret losing my family. My wife was murdered because I was responsible for protecting David Palmer during an assassination attempt. My daughter can't even look at me. Every day I regret looking into the eyes of men, women and children knowing that any moment their lives might be deemed expendable in an effort to protect the greater good. I regret every decision or mistake that I might have made which resulted in the loss of a single innocent life. But do you know what I regret the most? Is that this world needs people like me...."
Huyu mwambA siwezi msahau kamwe....
Na wenyewe kama 24?Jack Bauer ana mzigo mwingine upo ongoing sasa hv, na tayal wameshatoa ep 11...una The Fugitive
Narud kukushukur mkuu asante sanaMOST DANGEROUS GAME
Series - (Complete season 1)
Genre: Action | Thriller
Duration: 7 minutes
Rate: 7.9/10
Hii series ni ya moto mno, kama unavyoliona jina lake!
Dodge, baada ya kukumbwa na ukata wa kifedha huku mkewe akiwa na mimba na yeye baadae anakuja kugundulika kuwa ana uvimbe (cancer) kwenye ubongo, anaamua kwenda kuomba msaada kwenye kampuni ya TF ambayo ina kitengo cha kuwasaidia wahitaji.
Kwa bahati mbaya, kwake yeye inakuwa tofauti.
Mchizi analazimishwa acheze game la msako, yeye akiwa kama prey (anaewindwa) na kikundi cha watu ambao hawafahamu.
Jamaa inabidi acheze tu kwa maana hakuna njia nyingine ya kumsaidia mkewe mjamzito na ukizingatia yeye anao muda mchache tu wa kuishi kutokana na kuwa na uvimbe kichwani.
Dili ipo hivi, jamaa atakiwa aingie kwenye game (hunt), kila anapokamilisha lisaa moja kwenye msako kama bado atakuwa yupo hai basi zitakuwa zinaingizwa pesa kwenye benki akaunti anayotumia na mke wake kiasi cha $50,000/=
Humo kuna sheria za mchezo, jamaa anaambiwa asimjulishe mtu yeyote kuhusu hiyo game na wala asikimbie mji, akifanya hivyo atakuwa amekiuka masharti ya mchezo na hivyo mchezo hautoisha.
Pia wauwaji wanaruhusiwa kutumia silaha zote kuua isipokuwa bunduki.
Humo ndani kinawaka vibaya vibaya!
Kuna muda jamaa anaingia kanisani kwa padri kuungama, kumbe huyo padri mwenyewe yupo kwenye game anamuwinda!
Ni series fupi tu, kila episode haizidi dakika 8 na ina jumla ya episode 15. Siku haiishi ushaimaliza.
Kuna muda unaona kama inaisha haraka haraka, unatamani hata ingekuwa na dk 60!
Fanyeni kuitafuta haraka sana!
Ninauhakika kabla hujaimaliza utakuwa tayari ushanishukuru.View attachment 1535128
Karibu sana mkuu AmorbwoyNarud kukushukur mkuu asante sana
Hii season ipo moto sana nimeiweka kwenye Moja ta TOP season zangu haikuchoshi.ila swal!kwa nn Jamaa hakuweza kumuuwa Dodge? Au kwa kuwa mda ulishaisha? Kama utakuwa na season fupi fup kama hiz japo iwe story tu kali tuangushie
Karibu sana mkuu Amorbwoy
Series fupi fupi zipo nyingi tu, nitakuwa naweka hapa watu wakaenjoy.
Kuhusu kule mwisho jamaa hakumuua kwa sababu muda ulikuwa umeshaisha maana ile hunt ilikuwa ni ya siku moja tu, ukisurvive until sunrise basi umeula.
Pia kama ulifuatilia vizuri, yule Nixon (kwenye picha) ndio alikuwa anazingatia sana sheria za mchezo. Kwahiyo muda ulipoisha tu, jamaa ikabidi ampongeze tu!
Halafu hakuna bifu tena mchezo ukiisha, kila mtu anaendelea na mambo yake.
Na ilipoishia inaonyesha kuna mwendelezo maana kuna file lingine wamelipokea wale wazee, kwahiyo tutarajie season ya 2 soon.
Usiache kuni tag mkuu season 2Karibu sana mkuu Amorbwoy
Series fupi fupi zipo nyingi tu, nitakuwa naweka hapa watu wakaenjoy.
Kuhusu kule mwisho jamaa hakumuua kwa sababu muda ulikuwa umeshaisha maana ile hunt ilikuwa ni ya siku moja tu, ukisurvive until sunrise basi umeula.
Pia kama ulifuatilia vizuri, yule Nixon (kwenye picha) ndio alikuwa anazingatia sana sheria za mchezo. Kwahiyo muda ulipoisha tu, jamaa ikabidi ampongeze tu!
Halafu hakuna bifu tena mchezo ukiisha, kila mtu anaendelea na mambo yake.
Na ilipoishia inaonyesha kuna mwendelezo maana kuna file lingine wamelipokea wale wazee, kwahiyo tutarajie season ya 2 soon.
Mzuka!Usiache kuni tag mkuu season 2
Reddington hakua na akili kiivyo sema kwakua ni blacklister so anawajua wenzake angekuwa na akili sana man basi series ingekosa viewers na kusitishwa bali alikuwa mbabe 😆😆😆na ukitaka kujua ilo angalia alipomzingua huyu bibi ambaye anajulikana kama MR.Kaplan ambaye alikuwa cleaner wake kila akifanya mauaji Ni hatari mzee picha tu linaanza huyo ni mwanamke lkni why kaitwa Mr Kaplan? Raymond alifilisiwa kila kitu na mwisho wa siku huyu mama ndo kavumbua mifupa ya Raymond original ndo utata ukaanza hapo.the bureau season 2 nitaipata wapi?
nahitaji kuwa undercover uchwara, nimejiona kiakili sijamfikia na sitomfikia reddington
ningendako
Baharia mweuc
duh!Reddington hakua na akili kiivyo sema kwakua ni blacklister so anawajua wenzake angekuwa na akili sana man basi series ingekosa viewers na kusitishwa bali alikuwa mbabe 😆😆😆na ukitaka kujua ilo angalia alipomzingua huyu bibi ambaye anajulikana kama MR.Kaplan ambaye alikuwa cleaner wake kila akifanya mauaji Ni hatari mzee picha tu linaanza huyo ni mwanamke lkni why kaitwa Mr Kaplan? Raymond alifilisiwa kila kitu na mwisho wa siku huyu mama ndo kavumbua mifupa ya Raymond original ndo utata ukaanza hapo.
Jack Bauer ana mzigo mwingine upo ongoing sasa hv, na tayal wameshatoa ep 11...unaitwa The Fugitive