Series (Special thread)

Series (Special thread)

msaada.....unadownload vipi kwa kutumia pirate bay?
Download application ya utorrent kwny pc ako au simu, alafu nenda pirate bay, search iyo movie unayotaka, ukisearch utakuta link ukishafungua znaitwa magnet/torrents idownload, itafunguliwa na utorrent direct iyo link then itaanza download kupitia utorrent ipo slow but jifunze namna ya kuongeza speed later

Sent from my MHA-L29 using JamiiForums mobile app
 
msaada.....unadownload vipi kwa kutumia pirate bay?

Kama unatumia simu download app inaitwa fluid..then unacopy magnetic link utaipeleka kwenye hiyo app au itadetect yenyewe..

Kama ni pc tumia Bitcomet, ukicopy tu magneticl link itadetect direct then utadownload..

Unaposearch download file(s) lenye seeds nyingi
 
Wakuu tumieni telegram app n easy and faster zaid. Download telegram then jiunge kwa namba ya simu kama whatsapp, alafu pale kwny search andika jina la movie au series unayotaka ztakuja channel zna majina ya series unayotaka ingia na pakua series kwa speed ya light
Screenshot_20200707_134357_org.telegram.messenger.jpg

Sent from my MHA-L29 using JamiiForums mobile app
View attachment 1499889
 
Kama unatumia simu download app inaitwa fluid..then unacopy magnetic link utaipeleka kwenye hiyo app au itadetect yenyewe..

Kama ni pc tumia Bitcomet, ukicopy tu magneticl link itadetect direct then utadownload..

Unaposearch download file(s) lenye seeds nyingi
Download application ya utorrent kwny pc ako au simu, alafu nenda pirate bay, search iyo movie unayotaka, ukisearch utakuta link ukishafungua znaitwa magnet/torrents idownload, itafunguliwa na utorrent direct iyo link then itaanza download kupitia utorrent ipo slow but jifunze namna ya kuongeza speed later

Sent from my MHA-L29 using JamiiForums mobile app
1594118712907.png

BitCoin: 1J2dJk9s3c6v1xiJ1bNXHFpPerFwJMvzPh ....................
 
Nenda telegram ipo fast mara 10 ya torrent, ni simple kama whatsapp we search series unayotaka kama ivo fungua izo channel znazokuja utakuta series ndani shusha View attachment 1499893

Sent from my MHA-L29 using JamiiForums mobile app
ahsante sana...kuna group nimeikuta kuanzia season 1 hadi 7......... nilikuwa natumia tovuti ya 02tvseries lakini quality ya video ni ndogo sana
 
View attachment 1499888

BitCoin: 1J2dJk9s3c6v1xiJ1bNXHFpPerFwJMvzPh ....................
Ukishafika hapa click kwenye alama nyekundu kama upinde ambayo tunaita magnet 🧲 then itakuja moja moja kwenye app ya utorrent ulioweka kwenye simu au pc yako.
Uzuri wa hiyo quality unaiona hapo hapona pia kuna alama inakwambia kabisa hawa walioiweka hii series humu ni trusted au sio trusted kwenye alama ya fuvu(nimezungushia kwenye picha hapo) kuliko sehemu zingine unaweza kudownload virus au hacker wanapenda kuweka vitu vyao huko ili wachukue au wakufungie vitu vyako
 
Attachments

  • Screenshot_20200707-145755.png
    Screenshot_20200707-145755.png
    64.3 KB · Views: 15
nisaidie list ya series zinazozungumzia siasa ya mashariki ya kati.....
Mhhh! Ni chache Sana nilizoangalia ambazo kwa haraka haraka ni
Tyrant (iliishia s03)
Homeland
Fauda
Gharabeeb soud
American Odyssey (Bonge la series Ila ilisitishwa baada ya kuonekana inatoa Siri za jeshi la marekani kuwatekeleza na kuua wanajeshi wake waliokwenda kwenye missions).
Ndo izo mkuu Ila zingine zinakua zinadeals na conflict na siasa za mashariki ya kati kwa vipande vya episodes then inadeals na vitu vingine kama:
Jack Ryan
Strike back
The blacklist

Unaweza kuangalia zingine hapa ambazo sijaangalia 👇👇
Category:Terrorism in television - Wikipedia
 
Wakubwa , natafuta series Kali ya maswala ya IT .Weka pembeni Silicon valley, Mr Robot, West world, IT crowd.
 
Mhhh! Ni chache Sana nilizoangalia ambazo kwa haraka haraka ni
Tyrant (iliishia s03)
Homeland
Fauda
Gharabeeb soud
American Odyssey (Bonge la series Ila ilisitishwa baada ya kuonekana inatoa Siri za jeshi la marekani kuwatekeleza na kuua wanajeshi wake waliokwenda kwenye missions).
Ndo izo mkuu Ila zingine zinakua zinadeals na conflict na siasa za mashariki ya kati kwa vipande vya episodes then inadeals na vitu vingine kama:
Jack Ryan
Strike back
The blacklist

Unaweza kuangalia zingine hapa ambazo sijaangalia
Category:Terrorism in television - Wikipedia
Iongeze na Deep State pamoja na The Bureau(hii ni ya wafaransa, iko njema sana)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom